BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Ni jambazi huyu. Halafu alithubutu kujiita Mr Clean.
Sura yake tu inaudhi, ukiongeza has vitendo, you can choke.see
Sura yake tu inaudhi, ukiongeza has vitendo, you can choke.see
Ndo kunakucha sasa, tutasikia mengi sana. Na kama ndio hivyo mkulu bado ana safari ndefu sana ya kujifunza kuwa na subira, kusikiliza washauri wake na kutumia hekima na busara pia kupunguza kiki.
Mahakamani mtatushinda ila wananchi tunashindwa hata kuwapopoa kwa mawe wahaini hawa?
Tukishindwa basi jichawi, mshana jr, MziziMkavu na Bujibuji tukikaa kama kamati ya ufundi twaweza fanya jambo
Unweza kubahatisha mara moja lakini siyo mara nyingiWith all these qualifications what does have have to show? That is why I believe having PHD is not necessary you can produce wonders. There is more to education than being a professor.
Si kwamba walikuwa hawalipi kabisa, la hasha hila inawezekana walikuwa wanadanganya na kulipa kidogo. Hila waliwezaje kudanganya na utathibitishaje uongo wa huko nyuma. Kumbuka kule mgodini kabla makenikia hayapakiwa kusafirishwa, wizara kupitia TMAA na ACACIA/SGS wote uchukua sampuli ili kujua kiwango kilichomo ili hiyo 4% ilipwe. Then hufungwa seal mbele ya wadau husika kwa safari ya Dar. Pia TRA ISAKA ucheki documents zote na kuwapa export permitts. Ina maana tumeshiriki wizi huo?, lakini je tuna hizo evidences za nyuma.
Sidhani kama watajibu mkuu... tatizo ni kwamba bado wana fikra zile za 20th century mbaya zaidi wanafikiria watanzania bado wana fikra hizoWakikujibu unitag mkuu
Huyo profesa wa kipare nimemshusha thamani sana kukubali kutumiwa " hovyo" na wanasiasa.
mwanasheria aliyepata elimu yake chuo kikuu cha harvard marekaniJamani nisameheni, naombeni kujua professional ya change,
Tafiti hupingwa Kwa Tafiti sasa yeye kafanya tafiti gani hadi aje apinge hiyo tafiti? Naona Kuna watu wanamsapot chenge duuh watanzania wengine sijui vichwani mwao kuna vitu gan
Do you trust Chenge And believe what he says?Tulisema mwanzo kuwa Raisi alifanya yake na huyu watanzania tuwe macho atatuibia sana
Swissme
Hakuna sehemu ambapo Chenge amesema Raisi amedanganywa na Tume bali amesema yeye alitekeleza kazi yake kama kawaida na wataalamu walitakiwa kutekeleza wajibu wao wa kusimamia wajibu wao wa kusimamia makinikia hayabebi dhahabu zetuChenge alipotakiwa kuzungumzia kinachosemwa kwamba wakati akiwa Mwanasheria mkuu wa serikali, serikali iliingia mikataba mibovu inayoigharimu serikali kwa sasa, Chenge alisema
''Rais ameshatoa maoni yake , kuna marais wawili hapa?, Nani alikwambia nilikua mwanasheria mkuu wa serikali? Mbona nyie wagonjwa gonjwa kidogo? Mnaonekana kuwa na ugonjwa.
''Unachotaka ni nini? Sina comment nawaambieni. Yawezekana nyinyi hamkumbuki historia ya ripotinya bomani ambayo ilitoa mapendekezo ili serikali ione uwezekano wa kufanya smelting (uchenjuaji) hapa nchini.
''Mtu akikukumbusha kwa jambo jema, atakwambia kwa nini hamjafanya tangia kipindi kile, yawezekana mtu anasema requirement ya smelting ni gharama au production haitoshelezi.
Lakini ukikaa kimya italeta maneno, maana madini hayo ni mali ya watanzania, kwani wengine wanaamini tunaibiwa wengine hawaamini. Wakizipiga zile hesabu na mimi ukaniambia ni trilioni nakataa kwa sababu i know it ...lakini nadhani kuna mahesabu wameyakosea ''
Chenge amesema suala la madini lina mambo mengi ya kitaalamu na hata kushangaa nikwa nini kila mara amekuwa akinyooshewa kidole
''Hili swala lina mambo mengi ya kitaalamu .
Kwa hiyo nasema uamuzi wa serikali kuhusu madini ulikuwa ni huo tu, lakini ukiniambia nilikuwa mwanasheria mkuu mhh
''Chenge anabeba mengi na huwa nawaambia Watanzania kwamba basi Chenge ana akili sana, maana watu wote wananisema mimi.Tulianza mambo ya petroli na Mwalimu, mimi nimesomeshwa mambo ya mikataba ya mdini na petroli na watu hawajui lakini mimi nayajua''
Utakuta mtu anajidai anajua mimi namwangalia tu kwa sababu wakati mwigine hajai kwenye kiganja changu. Sijui kuna tatizo gani Watanzania wananisema mimi nina akilikuliko wote, lakini yote hayo unabeba, mtu mzima unabaeba tu, you don't over react
Kwa hiyo nasema Rais ameamua kuwakumbusheni hayomapendekezo ya Bomani, kwa nini hamkwenda huko ili baadae muulizane na kuona kama inawezekana au haiwezekani?''
Alisema Chenge
View attachment 515066 View attachment 515065
Rais kakurupuka au wewe ndo unakurupuka?
Rais ndo katoa report au tume?
Tume iliyoundwa haikuwa na uwezo wa kupata taarifa sahihi?
Lakini ukikaa kimya italeta maneno, maana madini hayo ni mali ya watanzania, kwani wengine wanaamini tunaibiwa wengine hawaamini. Wakizipiga zile hesabu na mimi ukaniambia ni trilioni nakataa kwa sababu i know it ...lakini nadhani kuna mahesabu wameyakosea ''
Kama preaidaa alituaminisha tuangalie kipindi cha shilawadu kwa lengo la kumlinda bashite sishangai hili la mchanga. Posibility ya taarifa kupikwa ni kubwa sanaKAKURUPUKA kwa mara nyingine tena! Lini atajifunza huyu ili aachane na kukurupuka!?
Watanzania tuwe macho na huyu BABA BASHITE tutalipishwa tena kodi zetu kama tulivyolpishwa samaki.huyu jamaa sio, ni bora sasa watanzania tuchukue maamuzi magumu au tuangalie upande wa pili.
Swissme
Do you even know who you are?Rais ana tofauti gani na wale wanaoua vibaka kwa kusikia kelele za "mwizi........mwizi....... mwizi...." pasipo hata kujua ameiba nini na kwa nani unaokota jiwe na kupiga mtu......
Huko ni kukurupuka kwa kiwango kibaya na cha kutisha...
Kwani asingetuliza akili na kujipa muda kidogo na yeye kusoma hiyo ripoti akajiridhisha kwamba kilichoripotiwa na aliowatuma ni sahihi na hakuna exaggeration yoyote ?
After all tunaambiwa kuwa kuna kamati zingine hazijampa ripoti, sasa sijui kilikuwa na haraka gani kuanza kuita watu wezi, wakwepa kodi hata.....???
Tusahau kuwa uchumi wa viwanda. Hat a wawekezaji wameshatusoma kuwa Tanzania siyo pa kuwekeza miradi ya high finance. Mimi nilionas hili tangu Barrick walipoamua kutenganisha miradi Yao yaliyo Tanzania n.a. kuyaundia Barrick Africa n.a. baadae Acacia. Hawakuta share ya Barrick ziwe zinaporomoka kutokana n.a. maamuzi ya serikali ya tanzania. Kama wangekuwa hawajafanya hivyo, ungekuta Leo share za Barrick zimeathiriwa. Kuna wakati hata walitaka wawauzie China miradi yao ya tanzania. Sitashangaa wakiamua kuirudia hiyo azma