.....anaongea hayo ndani ya taifa ambalo kuna kikundi chenye mamlaka ambayo ni walarushwa na wanalindani,katika nchi yenye mifumo makini na isiyolindana asingeongea upuuzu huo na wala hasingeaminika tena......Chenge ameshiriki ufisadi mwingi sana kama ya rada,ndege,TTCL,epa etcBaada ya kuona hii kauli,nikaanza kutafakari wadhifu Wa Mh.Change. Alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu Wa serikali,ametuandikia katiba pendekezwa akiwa Mwenyekiti Wa uandishi. Sasa hii imekaaje Watanzania kuongozwa na Nyoka katika jambo muhimu la Taifa kujizaa upya?sote tunajua sifa za Nyoka.Inamaana hii katiba tuiite ni zao la Nyoka? Ni maoni yangu tu. Source:Gazeti la Nipashe Leo.
kaka kama hujui ...nikwambie kile nikionacho..kuna nyakati zinakuja naam nyakati ni sasa ambazo waovu hawataulizwa na mtu ila watajiumbua wenyewe huyo...ni nyoka kweli na tena ni nyoka wa zamani....kwa kuwa ametuambia mwenyewe yy ni nyoka basi tuanze kumuita mheshimiwa nyoka..au Mr. nyoka.........hata mm nimesshangaa sn kujiiita nyoka?Baada ya kuona hii kauli,nikaanza kutafakari wadhifu Wa Mh.Change. Alishawahi kuwa Mwanasheria Mkuu Wa serikali,ametuandikia katiba pendekezwa akiwa Mwenyekiti Wa uandishi. Sasa hii imekaaje Watanzania kuongozwa na Nyoka katika jambo muhimu la Taifa kujizaa upya?sote tunajua sifa za Nyoka.Inamaana hii katiba tuiite ni zao la Nyoka? Ni maoni yangu tu. Source:Gazeti la Nipashe Leo.
Huyu jamaa anaogopeka sana serikalin,kwanza ni mchawi wa kutupwa sjui kama mnakumbka, alishawah kupigwa picha na mitambo ya bungen mwaka 2008 akiwa anaweka madawa ya kienyej,pili anaringa sana na taaluma yake ya sheria na anadiriki kusema Tanzania hakna anayemtoa knockout kwa sheria hata Mtikila hamuwezi.
Chenge ni jambazi lilokubuhu East and Central Africa.