Like father like son. Huyu Willie @ NYC, USA. Nae ni gamba tu, Ingawa aliandika ni tetesi, so what i begg u mwambie Chenge ajiuzuru otherwise wewe ndio jiuzuri kwa kitendo ulichowafanyia wana JF. Kama wewe upo NYC unadanganya je mimi wa Tabora Nifanyaje?
- According to the datas, Chenge ameachia ngazi rasmi leo ndani ya CC inayoendelea sasa hivi Dodoma!
Willie @ NYC, USA.
Uongozi wa JF to be fair to all the members napendekeza W.J.Malecela apewe ban kama wanavyopewa members wengine wanapodanganya.Malecela kama utakuwa umetuletea habari za kutunga tunga utakuwa umetuvunjia heshima.. Na ningeshauri ujiuzulu hapa JF kwani hatutegemei mtu kama wewe kutudharirisha sisi tunao endelea kuchangia post isizo na ukweli..!!
una maana huyu ndiye mtetezi wa serikali??Nani ataitetea Serikali ya JK na Kesi hizo za Kimataifa?
Yupo live bungeni, Ngoja nimsikilize pengine atajivua!
sasa ccm imekwisha kama ni kweli,hivi amebaki mwanasheria gani? Huko kwa mtazamo wa wananchi nisahihi kabisa ila kwa ccm ni kifo kikubwa,wasifanya mambo kufuata mkubwa maana kubwa lao halitoki linaendelea kutafuna kama vp? Naye actp dwn bac
mzee wa njaa
Naona hiyo haisaidii chama chote cha magamba kiachie ngazi wanawaonea tu na si vinginevyo makima hao.
Dingi ndo kampeleka chaka kwa kumlisha tango Pori@NYC,USA, umedanganywa au ulitaka kutudanganya?
<br />wacha wamalizane chama kizidi kwishaaa, maana hatakaa kimya nae lazima alipize kisasi kwa kuwajeruhi wapinzani wake ndani ya serikali nzima na CC ya CCM bila kumsahau JK!<br />
<br />
Lazima mapacha hao 3 (EL, AC na RA) watakuwa wameunda band yao ya kulipa kisasi....! ikifika hapo mbona itakuwa burudani toshaa....???