Chenge akemea ufisadi

Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania

Duh!
Hii ipo Tanzania pekee. Yaani hata Chenge huyu tunayemjua( Mzee wa vijisenti)
 
Mwizi anafahamu mbinu mbalimbali wezi wenzie wanazotumia,nadhani kwa kuwa yeye alishajipambanua kuwa ni joka la makengeza, basi atatumia ujoka wake kubaini wezi wa vijisenti.
 
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania
lakini jamaa si alishinda ubunge pale bariadi?? usishangae baadhi ya wanaoshangaa humu ndo walikua wpiga kura wake
 
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania
Hehehehe drama kama bongo movie yaan
 
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania
Haha haha haaaaa haaaa ccm bana kwi kw kwi kwi
 
Hii nchi kila kukicha ni comedy . Juzi Sokwe Mtu alizipiga na Mwanahabari huko Musoma, Jana ilikuwa Kikwete na utumbuaji wana chama wa CCM, Leo Chenge kesho kutwa ataibuka Membe. Magufuli naomba Donald Trump akishindwa kule USA umwite umuanzishie wizara ya Nidhamu ili awe Waziri ktk wizara hiyo.
 
Nakulaumu sana the phylosopher,kwa nini umeleta humu habari ya kusikitisha hivi,nimelia hadi macho yamekua mekundu
 
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania
Alikua location aki shoot movie/comedy
 
Ndani ya ccm hamna fisadi.... fisadi ni nje ya chama hiki kikuu sana nchini... chenge hana moral authority kuongelea ufisadi....
 
Jambazi akimwona jambazi mwenzake anapigwa na yeye husaidia kumpiga sana. Wakati wengine wanampiga jambazi kama adhabu ya wizi alioufanya, jambazi humpiga jambazi mwenzake kwa kuhofia kuwa asipopigwa sana anaweza kuwataja majambazi wengine, na yeye anaweza kuwa miongoni mwa watakaotajwa.

Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania
 
majuzi joka lilikuwepo pale villa park kirumba na family yake nikaliona alikichekelea goli la pili la yanga dhidi ya simba,hakika hasira yangu ilizidi mara mbili
 
Haaaaaa baada ya hasira ulichukua hatua gn mkuu
 
Back
Top Bottom