Huyu ndiye aliyeambiwa fisadi na ccm ktk kundi la Lowasa na Rostam. Leo ccm fisadi ni Lowasa tuChenge ni mti mkavu umewashinda ccm,na serkali.Je si ndiye aliyekataa kuhojiwa na tume ya maadili? Wabunge wa ccm wakamzawadia uenyekiti wa bunge.Eti na yeye yumo kwenye kamati ya maadili ya bunge.Aibu aibu aibu!!!!!!!