Chenge akaidi agizo la polisi la kusitisha kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa

Chenge ni mti mkavu umewashinda ccm,na serkali.Je si ndiye aliyekataa kuhojiwa na tume ya maadili? Wabunge wa ccm wakamzawadia uenyekiti wa bunge.Eti na yeye yumo kwenye kamati ya maadili ya bunge.Aibu aibu aibu!!!!!!!
Huyu ndiye aliyeambiwa fisadi na ccm ktk kundi la Lowasa na Rostam. Leo ccm fisadi ni Lowasa tu
 
Kwa hiyo hali inavyoonesha siku hizi Tz imegawanyika katika vijinchi vidogovidogo vyenye sheria tofauti tofauti.Inakuaje hii sheria iwe mkuki kwa nguruwe halafu kwa binadamu uwe mchungu?.God bless my tatalize country.
 
Mh! sasa hawa polisiccm wamekuja na style nyingine ya kuwabambikia wapinzani makosa yasiyokuwepo. Hivyo vyanzo vyake mbali mbali ni vipi na atuwekee ushahidi wa kutoka hivyo vyanzo mbali mbali hadharani.

“Polisi kupitia vyanzo vyake mbalimbali, imebaini kuwa mikutano hiyo ina lengo la kuwahamasisha wananchi kutotii sheria za nchi,” alisema Kamishna Nsato.Kufuatia agizo hilo, Jeshi la Polisi lilizuia kufanyika kwa mikutano iliyokuwa imepangwa na CHADEMA na ACT- Wazalendo kwa nyakati tofauti.

Agizo la Jeshi la Polisi nchini la kusitisha kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa limeonekana kutoathiri ratiba za Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge ambaye ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni kwake.

Taarifa kutoka jimboni humo zimeeleza kuwa Chenge amekuwa akifanya mikutano ya hadhara katika vijiji mbalimbali na Alhamisi iliyopita alianza na eneo la Buchani, mkutano uliomalizika salama bila kuwepo kizuizi chochote. Katika mikutano hiyo, Mtemi Chenge ameendelea kuwasisitiza wananchi wake kupuuza kauli za kisiasa zinazotolewa na wapinzani wake bali waangalie namna anavyotekeleza ahadi alizozitoa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.

Mikutano hiyo ya Chenge hutanguliwa na matangazo yanayofanywa kwa kutumia magari yenye vipaza sauti katika eneo husika.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Onesmo Lyanga alipotafutwa kwa njia ya simu alisema kuwa yeye hahusiki kutoa vibali vya mikutano na kwamba mhusika ni Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD).

Hata hivyo, OCD hakupatikana kwa wakati.Hali hiyo imedaiwa kuzua manung’uniko kwa vyama vya upinzani mkoani humo ambavyo vimeshindwa kufanya mikutano ya hadhara kutokana na kuwepo kwa zuio la Mikutano hiyo nchi nzima.Mwezi uliopita, Kamishna wa Jeshi la Polisi,Operesheni ya Mafunzo, Nsato Msanzya alitangaza kupiga marufuku kufanyika kwa mikutano ya kisiasa kwa sababu za kiusalama.

Nionavyo
Ni bora Magufuli na polisi wake akawa clear kabisa kwamba mikutano ya upinzani hairuhusiwi na ni marufuku kuhoji utendaji wake kuliko kuzunguka zunguka mbuyu namna hii

Awatangazie upinzani kabisa kuwa mikutano yenu itaruhusiwa endapo mtaniunga mkono bila kunihoji na hata mkifukuzwa na vyama vyenu atawapangia kazi nyingine kama alivyogusia juzi
hi
 
"Nilisaini mikataba ya madini kwa nafasi yangu, na aliyeniagiza kusaini ndiye huyo huyo aliyemuagiza kuuza Nyumba za serikali" by Mzee wa vijisenti.
Case closed and shut up.
Nani anaubavu tena wa kumhoji?
 
Zamu yake bado, nina Imani awamu hii hakuna jiwe litabaki bila kufunuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Agizo la Jeshi la Polisi nchini la kusitisha kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa limeonekana kutoathiri ratiba za Mbunge wa Bariadi, Andrew Chenge ambaye ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni kwake.

Taarifa kutoka jimboni humo zimeeleza kuwa Chenge amekuwa akifanya mikutano ya hadhara katika vijiji mbalimbali na Alhamisi iliyopita alianza na eneo la Buchani, mkutano uliomalizika salama bila kuwepo kizuizi chochote. Katika mikutano hiyo, Mtemi Chenge ameendelea kuwasisitiza wananchi wake kupuuza kauli za kisiasa zinazotolewa na wapinzani wake bali waangalie namna anavyotekeleza ahadi alizozitoa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.

Mikutano hiyo ya Chenge hutanguliwa na matangazo yanayofanywa kwa kutumia magari yenye vipaza sauti katika eneo husika.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Onesmo Lyanga alipotafutwa kwa njia ya simu alisema kuwa yeye hahusiki kutoa vibali vya mikutano na kwamba mhusika ni Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD).

Hata hivyo, OCD hakupatikana kwa wakati.Hali hiyo imedaiwa kuzua manung’uniko kwa vyama vya upinzani mkoani humo ambavyo vimeshindwa kufanya mikutano ya hadhara kutokana na kuwepo kwa zuio la Mikutano hiyo nchi nzima.Mwezi uliopita, Kamishna wa Jeshi la Polisi,Operesheni ya Mafunzo, Nsato Msanzya alitangaza kupiga marufuku kufanyika kwa mikutano ya kisiasa kwa sababu za kiusalama.

“Polisi kupitia vyanzo vyake mbalimbali, imebaini kuwa mikutano hiyo ina lengo la kuwahamasisha wananchi kutotii sheria za nchi,” alisema Kamishna Nsato.Kufuatia agizo hilo, Jeshi la Polisi lilizuia kufanyika kwa mikutano iliyokuwa imepangwa na CHADEMA na ACT- Wazalendo kwa nyakati tofauti.

Nionavyo
Ni bora Magufuli na polisi wake akawa clear kabisa kwamba mikutano ya upinzani hairuhusiwi na ni marufuku kuhoji utendaji wake kuliko kuzunguka zunguka mbuyu namna hii

Awatangazie upinzani kabisa kuwa mikutano yenu itaruhusiwa endapo mtaniunga mkono bila kunihoji na hata mkifukuzwa na vyama vyenu atawapangia kazi nyingine kama alivyogusia juzi
hi
Yaani wewe mkuu hujui kitu kabisa!! Mikutano ya hadhara haijazuiwa kwa wabunge kwenye majimbo yao!! Kama hujui si uulize??
 
Uzi wa kitambo huu, mikutano ilikuwa imezuiwa kote kipindi hicho kabla ya kuruhusiwa kwenye jimbo la mbunge husika
 
Kwenye majimbo yao wanaruhusiwa Mkuu...
Shaka H shaka ni mbunge wa Jimbo Gani hapa tz??

Polepole ni mbunge wa Jimbo Gani hapa tz??

Bulembo je?? Nonsense!

Ngedere wakubwa nyie!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Back
Top Bottom