Chenge Afunika Rasimu ya katiba pendekezwa

wewe ndio binti hakuna taifa lilikosa dira sahihi likasonga mbele!katiba bora utusaidie kutengeneza dira sahihi,tumia kichwa kufikiri.
Umebeba mkate wa maandamano ?hahahahahahahah chadema machizi
 
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.

Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.

Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo

No Mimi mzalendo

Kingukitano

Tandaimba

Ndio huyu Chenge, sio huyu mzee vijisenti huyu jangili mkubwa wa pesa za walipa kodi? Kweli kuishi kwingi kuona mengi, anapeta tu ... ... nchi hii bwana inatia huruma.
 
Mamluki km haya IDD Amin alitupia mamba MTO kagera wakafanya menu
 
yani me watanzania wananikera kitu kimoja tu hawana msimamo huyu anamsifia chenge kwa lipi sasa kama co danganya toto tu! Basi tuwe tunathink big kidogo basi jamani da!

Inakera sana, nchi hii kupata maendeleo ni ngumu sana watu wamejaa unafiki na kujipendekeza kwingi.
 
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.

Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.

Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo

No Mimi mzalendo

Kingukitano

Tandaimba

Neno mzalendo limekuwa linatukanwa sana siku hizi hasa wanaoendesha propaganda za kutaka status quo; majuzi nilizoma kuwa umoaja wa "vijana wasomi wazalendo" waliokuwa wakiongea pumba tupu.
 
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.

Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.

Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo

No Mimi mzalendo

Kingukitano

Tandaimba
Acha upuuzi umesoma utumbo anaosoma chenge au umekurupuka na gamba lako kama gauni, feel ashame you people, taifa litateketea kwa upuuzi wa watu kama nyinyi na babu zenu kina chenge
 
Embu funguka punguza hasira za ujauzito wapi katika Rasimu iliyosomwa Leo patakawiza na kudumaza maendeleo ya nchi au umekaririshwa na Bwana zako kuamini katiba mpya itakapiputa Tanzania inakua Sweeden
 
Kipya kilichoongezwa hapo nin, ukiacha mgombea huru wa urais na ubunge, maoni yetu yote wametupilia mbali, kwanza hizi confidence chenge anazitoa wapi, nani asiyejua utumbo wake. Tufikie kipindi tuijali nchi yetu,, this is too much guyz.
 
jk yupo USA marekani anakula bata huku wahuni wake wako kwenye bunge la ccm kuwalisha katiba iliyopendekezwa na ccm MUNGU atawahukumu wote wanaochezea pesa zetu
 
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.

Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.

Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo

No Mimi mzalendo

Kingukitano

Tandaimba

huna uzalendo chizi wewe
 
Kipya kilichoongezwa hapo nin, ukiacha mgombea huru wa urais na ubunge, maoni yetu yote wametupilia mbali, kwanza hizi confidence chenge anazitoa wapi, nani asiyejua utumbo wake. Tufikie kipindi tuijali nchi yetu,, this is too much guyz.

Fredi Fungo jenga hoja usimshambululie Change personal.niambie jambo ambalo unadhani nikikwazo kwa maendeleo katika Rasimu ilosomwa Leo.unajua uvivu wa kujituma na siasa zimewsharibu vijana wengi was hii nchi kiasi cha kutowaza kuleta mapinduzi kwa kazi na wote kuwa politician na kudhani matatizo ya nchi yako hatma kwa siasa huu ni upunguani was hali ya juu.
 
Ukisema sisi ni wavivu wa kufanya kazi si kwel ulichokiongea ni too general, watu tuna mudi ya kufanya kazi ila mazingira ndio yanayo didimiza ufanisi wa kazi, utaratibu tunaoulilia ndio utatufanya tufanye kazi kwa bidii zaid, ila kwa ajili ya watu wenye maslah binafsi hatuwezi kufika, katiba haiwezi kuwa bora kama tulivo tarajia hata kidogo.
 
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.

Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.

Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo

No Mimi mzalendo

Kingukitano

Tandaimba

Zamani mwehu alikuwa anajulikana kwa kuokota makopo... Siku hizi na hii biashara ya makopo ya plastiki, kuwajuwa wehu tuna namna nyingine nyiingiii za kuwatambua... ZIKIWEMO MAVAZI, ANACHOONGEA, ANACHOANDIKA.... anachojibu akiulizwa, anavyokula, anakokula.. etc
 
Back
Top Bottom