Je, Sitta, Chenge na Wassira walikuwa sahihi kuikataa rasimu ya Katiba Mpya ya Jaji Warioba!

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
29,963
2,000
Najiuliza tu maana kila uchao wale makada waliokuwa wanaipigia debe rasimu ya Katiba mpya ya Jaji Warioba sasa wameanza kuipotezea. Kwa mbali nawaona hawa wazee watatu rip Sitta Chenge na Wassira walikuwa na hoja kwa maana wao kama makada wa CCM hawakuwa " huru" bali ilibidi wafuate msimamo wa chama. Na lililo kubwa kwa msimamo wa CCM ni muundo wa muungano wa serikali mbili. Ni hayo tu!
 
Top Bottom