Chenge Afunika Rasimu ya katiba pendekezwa

Chenge Afunika Rasimu ya katiba pendekezwa

Ndio huyu Chenge, sio huyu mzee vijisenti huyu jangili mkubwa wa pesa za walipa kodi? Kweli kuishi kwingi kuona mengi, anapeta tu ... ... nchi hii bwana inatia huruma.

mada co wiz, mada ni katiba-au mpaka aisome slaa? chagadema bana mmeagizwa urais eh?
 
Embu funguka punguza hasira za ujauzito wapi katika Rasimu iliyosomwa Leo patakawiza na kudumaza maendeleo ya nchi au umekaririshwa na Bwana zako kuamini katiba mpya itakapiputa Tanzania inakua Sweeden

We mganga njaa huna lolote
 
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.

Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.

Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo

No Mimi mzalendo

Kingukitano

Tandaimba

Aisee umeisoma Rasmu iliyowasilishwa?
Mababu zetu walisaini. mikataba ya kilaghai na akina Karl Peters na wewe tena bado unarudia yaleyale.
 
mada co wiz, mada ni katiba-au mpaka aisome slaa? chagadema bana mmeagizwa urais eh?

Hizo rupia ulizopewa hadi utatapika, kila unayemuona ni Chadema au Slaa vipi wanakunyima usingizi?
 
Back
Top Bottom