kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
- Thread starter
- #21
Msumeno umenichekesha nilikua nakunywa juice hapa huku naogesha mbuzi wangu mpaka nimepaliwa.hahahaahahah.Wateja wa mikate ya azamu duuuuuu chadema wana vituko sana
Nyie mmelewa uvivu was wanasiasa was Tanzania waupinzani mmefikia kuamini kuwa TanAnia itapaa kiuchumi kwa nguvu ya upuuzI was siasa A kishenzi.
Ona linavyochapia ovyo sasa.
Masho ga mmekutana kusifia ujingaHahahahaahhahahaaahah mbavu sangu
Akili yako inafanana na Remote haifanyi maamuzi mpaka ibonyezwe umeathirika na kubonyezwa
tena za hovyo na kipumbavu kabisa
Habari za Shelui Kingu? Acha upunguwani, Kuna mambo ya kushabikia SI hili la uchakachuaji WA akina sita na na huyo mzee WA vijisenti
Kwa hiyo kukubali Serikali 3 (= kuvunja Muungano) ndio kuwa na akili?hakika mkuu,mijitu mingine ni mbulula sana,ndio maana safari ya Tanzania tuipendayo ni ndefu bado.
Umejuaje wakati uwasilishaji ulikuwa haujaisha hadi wakati unaanzisha thread hii?Jabulani hakika Rasimu iko vizuri sana kaka
Tanzania imegubikwa na wananchi wengi wenye fikra fupi fupi kama wewe...
Nkanaga hahahahahahaah.shelui ni kwangu na kwa make wangu mdogo nilipata uhamisho sasa Niko Tandahimba kaka msikilize kwa makini
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.
Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.
Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo
No Mimi mzalendo
Kingukitano
Tandaimba

We binti safari ya Tanzania tuipendayo haitaletwa na wanasiasa kama unavyodhani Bali no kwa kufanya kazi kwa juhudi na Maarifa
ndugu zangu ukweli tuuseme change ametaja maeneo ambayo yamewagusa watanzania hasa ushirika....kilimo....elimu.....na malengo ya kitaifa ya kiuchumi.
Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.hongera sana change kwa umahiri.hongera wajumbe hongera sitta.
Natamani rasimu hii iletwe tuipitishe kwa kishindo
no mimi mzalendo
kingukitano
tandaimba