Chemsha ubongo tafadhali

GUUD umepata mkuu
 

Hakuna kitu kama hicho hiyo 1.5 ya kichwa umeitoa kichwani? hii hesabu ni algebra ya kawaida na jibu sahihi ni 22
 
Hakuna kitu kama hicho hiyo 1.5 ya kichwa umeitoa kichwani? hii hesabu ni algebra ya kawaida na jibu sahihi ni 22
We kweli unajua mathematics,

Na ikiwa kwafanya assumption, namimi ningekuja na assumption yangu kuwa kichwa kidogo1.5 nakikubwa2.5.
Kwahiyo ingekuwa hivi
2.5(+5*4)
2.5+20
Jibu 22.5

But, hesab hazitak hivyo, bali zataka uonyeshe 1.5na2.5 zimetoka wapi.

Kwahiyo jibu sahihi ni22
 
Let "a" be Mkasi
"b" be Kigari and "c" kimdoli
a+a+a=9
3a=9
gawanya kwa 3 pande zote
3a/3=9/3
a=3
Next
a+b+b=13
a+2b=13
but a=3
Therefore
3+2b=13
2b=13-3
2b=10
gawanya kwa 2 pande zote
2b/2-10/2
b=5
Next
b-c=1
but b=5
5-c=1
c=5-1
c=4
finaly
b+c*a
i.e
5+4*3=17
therefore the answer is 17
 
Aliyetunga swali anataka kuona kama watu hawajui hesabu ila nadhani tatzo lipo kwa mtunga swali.
 
Reactions: bbc
Big wrong
 
19 na ukiniambia wrong nabadili ID
Itakua vema sana kama utabadili hiyo ID..!
Kama HESABU ndogo kama hii ya BODMAS inakupiga CHENGA hauna budi kubadili hiyo ID haraka iwezekanavyo..!
Bila kuleta KASUMBA ya LUGHA ya PICHA...
Ukitumia BODMAS jibu ni 22..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…