Chemsha ubongo tafadhali

Ok, nilikurupuka,
Ila tuthibitishie kuwa kichwa kikubwa3 nakidogo1
 
Ok, nilikurupuka,
Ila tuthibitishie kuwa kichwa kikubwa3 nakidogo1
Nirudie kwa kusema ukiangalia hapo vitu vinavyolingana na kufana vina thamani moja I.e chane za mkasi , mzinga nk
Lakini vichwa havilingani ndugu
Kumbuka
Swali hili in case of proving tunatumia picha kuprove MAJIBU
Na sio njia mkuu

Tulitofautisha wingi wa chane kwa numeral ...! Pia hata ukubwa wa picha kwa numeral

HILI NI SWALI LA PICHA
 
Kwa hiyo na sie tujibu kwa picha?
 
Mkuu ya mwanzo inasimama badala ya 4

Hesabu itakuwa hivi
3+3+3=9
3+5+5=13
5-4=1
4+5x3=19
Kwa hyo kihebu itakuwa

9:13:1:19
Jibu ni 19
Angalia idadi ya vichwa na chane za mikasi kwa kila mistari
Pia jibu nishatoa nyuma 23
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…