Chemsha ubongo tafadhali

WRONG
Umeanza vizuri umemaliza vibaya
Mkuu angalia vile visu vya juu na vya chinii.......vya juu ni vi3 ila vya chini kabisa ni v4......natumaini we ndio umeelewa sasa
 
Mkuu angalia vile visu vya juu na vya chinii.......vya juu ni vi3 ila vya chini kabisa ni v4......natumaini we ndio umeelewa sasa
Kwani hata idadi ya vichwa ni sawa juu na chini?????
 
WRONG
angalia idadi ya mikasi
na vichwa kwa kila sehemu
 
I'm right, i'm certain. Hiyo ni hesabu ya BODMAS or BEMA if you like. Just out of curiosity, do tell me what is your answer?
Usiwe mbishi angalia idadi ya mikasi kila juu na chini halafu pia na idadi ya vichwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…