Chemsha ubongo tafadhali

Aaaaah kumbe! Sio 12,wala 27,.. Ni 36 jibu.
 
No no no no! Ni 28..
2+5×4=28..........
 

Napenda sana chemsha bongo za namna hii. Hapo kwenye rangi nyekundu, umejuaje huo ukubwa kwamba ni mara moja na nusu japo ni kweli kichwa kimoja ni kikubwa kuliko kingine? Kwanini kisiwe kikubwa mara 2 au 2 na 1/2? Na pale mwanzo onyesha basi hiyo 3 umeipataje!
 
@mpigaera
Bila shaka wewe sio MTUNZI wa hili FUMBO la HESABU..!!!
UMELIOKOTA somewhere kama lilivyo then ukatuletea huku..!!!

Nadhani. Angalia hata kwenye jibu lake alivyoipachika 3 hakueleza/kuonesha kaitoa wapi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…