Chemsha bongo!!

Chemsha bongo!!

Wakuu jibu LIPO, umiza akili kidogo

mkuu, kwa tabia za namba kama zilivyo hapo, hakuna jibu hapo. Namba tatu odd haziwezi toa namba moja even ukizijumlisha. Kwa kifupi ni kwamba, ukijumlisha odd numbers idadi yao ikiwa ni odd, lazima utapata odd.
 
1569102984498.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom