mkuu, hizo zote ni odd numbers. Unaweza jumlisha namba mbili odd (witiri) ukapata even (shufwa). Lakini huwezi jumlisha namba tatu odd ukapata even. Ni hayo tu. Otherwise nakutakia pilau njema.
three odd numbers can never sum up to an even number... hisabati rahisi sana ya darasa la nne.....
Summing an odd number of odd digits can never result to an even number.
Ngoja tumalize kupika pilau tukishiba akili itakuja
Nikaribie??
Summation of 3 odd numbers can never make an even number. But can you think outside the box? The Answer is you can make using not base 10 but using other base.....Number yeyote kama haijaandikwa basi ipo kwenye base 10 by default.
Kwahiyo 1 ni sawa na 10 Base 10
2 ni sawa na 9 Base 3
Kwahiyo kibox cha kwanza nitaweka [9 Base 3]+[11]+[15] = 30
3+7+7+3+7+3=30
Which is equivalent to 2+11+15 = 28 !!!!
Kama utatumia logarithms...inabidi utafute combination inayotakiwa.
Labda log(3)9 + 13 + 15 = 2+13+15 == 30.