Chemsha bongo. Umepewa dumu 3 zenye lita tofauti- lita nane na lita tano na lita 3. Lita nane inamaji lita 8, lita tano haina kitu,na lita tatu haina kitu. Umeambiwa ugawe maji kwnye lita tano iingie lita nne na lita nane ibaki lita nne. Lita tatu itakusadia kwnye kugawe, utafanyaje?

Naona mkubwa umeingia na kutuchemsha? Si mbaya nakupa mji wa ujiji!