SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Taja neno lolote la kiswahili linalo ishia na silabi FO isipokuwa kifo na fofofo.
Fuso. Niambie
Kificho
Taja neno lolote la kiswahili linalo ishia na silabi FO isipokuwa kifo na fofofo.
SAYANSIKIMU una bei gani tuchangamkie tenda fasta ?
Tenda gani hiyo fafanua basi
mkuu upo, kla ninapokuona nafrah.
Kafofo
mkuu upo, kla ninapokuona nafrah.
Hv somo la Sayansikimu bado linafundishwa mashuleni?
Naomba usi ivunjie heshima ID yangu tafadhali.
neno lenyewe ni divisheni fo!