Chemsha Bongo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha Bongo!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Tiger, Aug 29, 2012.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Katika kuchunguza hapa na pale nilikuja kugundua mara nyingi wanadamu tunapokutana na wenzetu, huwa tunaangaliana machoni hata kama ni kwa kuibia.
  Hii hutokea barabarani, mikutano na mahali popote pale.
  Je, ni kwanini tunafanya hivyo?
  Kama hujachunguza anza sasa.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280

  Mi naomba kuuliza swali jamani,kazi ya chupi haswa ni nini?​


   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280

  Mi naomba kuuliza swali jamani,kazi ya chupi haswa ni nini?
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mhhh hapo sasa
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Chupi gani unayoiulizia?
  Maana kuna pichu za aina 2.
  Aina ya kwanza ni zile zenye mfuko: maalum kwa kuficha pesa
  na Aina ya pili ni zile zisizo na mfuko: maalum kwa kuhifadhi bidhaa.
   
 6. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  sio poa kumuangalia mtu ambae umemuona kwa mara ya kwanza ujue macho yanaelezea mambo mengi kuhusu mtu, unaweza jua huyu mtu muongo au anapenda wanawake/kicheche kwa kumuangalia usoni tu, sasa kila mtu anajua hilo kwa hiyo inabidi kumuangalia kimachale
   
 7. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mi najua kazi ya chupi kwa wadada, kazi yake ni kuiteremsha kwa pozi wakati wa tukio ili kuongeza hamasa ya tukio zima hehehehehehheheeeeeeee
   
 8. T

  Tiger JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nilichogundua ni kwamba swala hili ni automatic, mara nyingi inatokea bila kuamua.
  Fanya uchunguzi utaona.
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  weweee...ngoja dada apite mwenye ushepu uliotulia utaona kama macho yake ndio yatakua ya kwanza unayaangalia
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Wangu are you?
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Babu siku hizi watu hawavai chupi ili kuwa zamani!
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Lawyer unatupiwa nyama na mwizi wa Sredi ya wenyewe nawewe umeifata Nyama!
  Nina maana badala ushughulike na anachotaka mleta mada, umezamia kwenye CHUPI mazima!
  Ama kwa hakika nimeamini chupi ina power yake!
   
 13. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Mimi siangaliagi macho. Ila natazama kwa macho.
   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Na inakua vipi pale umuibapo kum'study mtu wa kuvizia , ukute nae yu'anahesabu kama zako! Sometyms hutokea kadhaa ya mara mkakuta mnagonganisha macho katika huko kutaimiana chabo za wizi ! Na hii hutokea sana kwa mlio na different gender! Mwanamke na Mwanaume! Aidha same gender hali hii si sana kutokea.
   
 15. T

  Tiger JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hata akiwa na "shep" kali ikitokea akageukia ulipo, mara nyingi mtaangaliana machoni.
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  ushaambiwa macho hayana pazia
   
 17. T

  Tiger JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sama mkuu ila ipo sababu ya kisaikolojia.
  Mkishindwa nipeni mji?
   
 18. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  yaani mim uanza kumuangalie mtu miguuni!!
   
 19. T

  Tiger JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hii si kwa wa penzi tu jamani.
   
Loading...