samaki wa broiler ngumu kumpikaMkuu nakubaliana na wewe Samaki ni bora zaidi!
Mkuu suala hapa siyo nani yupo juu,cha muhimu ni virutubisho!Samak ili itokee nn?
Kitu KUKU ... mbali na faida tukikutwa restaurant mimi napiga kuku wewe samaki nani yuko juu!
Hahahaaa...
Mkuu usipate tabu,huyo jamaa aliteleza kidogo!Mmaanake kuna mdau mmoja amesema yeye atakula samaki kwa kuwa kuku wanakula vyakula vyenye vinasaba!
Teh teh teh!hata kwa jiko la gesi?samaki wa broiler ngumu kumpika
Anzisha mada yako inayohusu jambo hili,hoja iliyopo mezani haihusiana na hiyo mada yako!jaribu kuwa mstaarabu!Wananchi tuishinikize serikali kumaliza ajali za barabarani maisha ya watanzania yapo hatarini
Anakuwa anaganda kwenye sufuria,huwezi kumkausha kwenywe mafuta mkuuTeh teh teh!hata kwa jiko la gesi?
Teh teh teh!upo sahihi!ulaji wa samaki unachangamoto zake,hatahivyo cha msingi ni virutubisho!kuku......natumia muda mfupi kumla kuku kuliko samaki napoteza muda mrefu kumla kukaa namchambua na kumbirubirua
Upo sahihi mkuu,hatahivyo kuna namna nzuri ya kumuandaa ili kuondoa hizo kero!Anakuwa anaganda kwenye sufuria,huwezi kumkausha kwenywe mafuta mkuu
mkuu hawezi kumpika fasta kumpika kama kuku hata uwe na mbinu kibaoUpo sahihi mkuu,hatahivyo kuna namna nzuri ya kumuandaa ili kuondoa hizo kero!
Tachagua samaki ana virutubisho vya asili kuliko kuku ambaye kama si wa kienyeji ana sumu nyingi mwilini kutokana na kupewa vyakula vyenye vinasaba vyenye madhara ya baadae kwa binadamu
kuku......natumia muda mfupi kumla kuku kuliko samaki napoteza muda mrefu kumla kukaa namchambua na kumbirubirua
Kumbirubirua...?? ndio nini
mkuu hawezi kumpika fasta kumpika kama kuku hata uwe na mbinu kibao
Teh teh teh!yale yale,kulia na kucheka yote ni makelelele tu!kumgeuzageuza
Mkuu kwani wewe mwenzetu ni mzungu?Vinasaba? kingereza chake ni kipi?
Samak ili itokee nn?
Kitu KUKU ... mbali na faida tukikutwa restaurant mimi napiga kuku wewe samaki nani yuko juu!
Hahahaaa...