Transducer
Member
- Sep 10, 2012
- 49
- 3
Ktk pitapita zako kitaa ukaona nguo inauzwa Tsh 10,000/- ukaipenda,ukakopa kiasi cha Tsh 5000/- kwa cct na Tsh 5000/- kwa br.Ulpoenda sokoni ukapata discount ya Tsh 300/-.Ukaona upunguze deni ukampa cct Tsh 100/- na br Tsh 100/- na wewe ukabaki na Tsh 100/-,wakabaki wanakudai Tsh 4900/- @.
Ukichukua jumla ya pesa (4900+4900)/- na Tsh 100/- uliyobakinayo wakati wa kulipa deni unapata Tsh 9900/-.
Je Tsh 100 imekwenda wapi?
Ukichukua jumla ya pesa (4900+4900)/- na Tsh 100/- uliyobakinayo wakati wa kulipa deni unapata Tsh 9900/-.
Je Tsh 100 imekwenda wapi?