Chemsha bongo hii noma jibu plzzz!!

Chemsha bongo hii noma jibu plzzz!!

Mputi

Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Umekuta nguo inauzwa 10,000 ukaenda kwa dada na kaka yako kila mmoja akakukopesha 5,000, ulivyokwenda kununua nguo ukakuta bei imepungua inauzwa sh 9700, ukarudishiwa 300, ulivyorudi home ukaamua kupunguza deni, dada ukampa 100 na kaka 100, sasa dada anakudai 4900 na kaka 4900 jumla unadaiwa 9800, ukijumlisha na 100 ulobaki nayo jumla kuu ni sh 9900, sasa 100 nyingine imekwenda wapi ili itimie 10,000?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom