Nisaidieni kwa hili jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni kwa hili jamani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jitegemee, Jan 23, 2012.

 1. j

  jitegemee Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. kwa hiyo kaka anabaki anakudai 4900 na dada 4900. ukichukua 4900 ya kaka na 4900 ya dada inakuwa 9800, ukiongeza na 100 yako inakuwa 9900. je mia imekwenda wapi?
   
 2. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tukuulize ww, maana ndie uliekuwanazo hela.!
  Eeh hebu 2eleze imeenda wapi?
   
Loading...