chemsha bongo # Leo ni kama kumsukuma mlevi, hapa ni wapi?

chemsha bongo # Leo ni kama kumsukuma mlevi, hapa ni wapi?

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,577
Reaction score
1,365
Picha ya leo ni kama kumsukuma Mlevi, hapa ni wapi?
seniorgeek, kashesho, RR, kindondindo, Amayubi, Musolin, milioni milioni, of course na wengine wote

kivukoni.jpg
 
Last edited by a moderator:
Amayubi yumo humu au ulikusudia Amavubi? mkuu hicho ni kivuko maalu kwa ajili ya kwenda mazikoni na hapo ni Lituli
 
sijapajua ila ni kivuko hicho mandhari yake nimeyapenda bure
 
Amayubi yumo humu au ulikusudia Amavubi? mkuu hicho ni kivuko maalu kwa ajili ya kwenda mazikoni na hapo ni Lituli

Mkuu, niwie radhi. Uandishi wa usiku nao taabu kweli kweli (hahahahah....)
 
Sasa mkuu wengine born Town sasa Bush Star tutapajuaje?Tupe angalau hints.

Mkuu, hint ni kwamba mahali hapa ni maarufu sana pia pana mihangaiko mingi na huwa pana kivuko. I hope that helps
 
Mkuu, hint ni kwamba mahali hapa ni maarufu sana pia pana mihangaiko mingi na huwa pana kivuko. I hope that helps
Penye kivuko mhh sema Tanzania kubwa ngoja wanyumbani waje.
 
Back
Top Bottom