Chemsha bongo: Kama uzalishaji umeme umepungua kwa 21%, je, maji yamepungua kiasi gani?

40%
 
Hiyo 24%umepataje hapo??
Ni 14, nilijichanganya. Gas kwakuwa haijapungua means inazalisha 65% ya umeme uliokiwa unazalisha kabla ya upungufu. Uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa maji, hivyo uzalishaji wa sasa ni 79% ya jumla ya umeme uliokuwa unazalisha kabla ya upungufu, maana yake maji yanazalisha 24% tu ya jumla ya umeme uliokuwa unazalisha kabla ya upungufu wa maji [(79% - 65%)=14%]. Kwahiyo uwiano (ratio) wa kabla na baada ni (14 : 35) , kwa fractions (sehemu) inakuwa (14/35), kwa percentage (asilimia) unafanya mara 100% unapata kwamba maji ya sasa ni 40% tu ya yaliyokuwa kabla ya upungufu, hivyo katika 100% kilichopungua ni 60%.
 
Mkuu em fanya math yako vizuri. 79-65 ni 24 au 14
 
40% ni kiwango cha maji cha kuzalisha umeme 14% ili kufikia 35% ya kiwango chake cha mwanzo 60% itahitajika iongezeke, hivyo maji kwenye mabwabawa yamepungua kwa 60%

Nadhani ulipo andika 24 ulijichanganya baada ya kuandika 14.
Yeah, maji yamepungua by 60%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…