Chemsha bongo: Kama uzalishaji umeme umepungua kwa 21%, je, maji yamepungua kiasi gani?

Yamepungua kwa 38.2%


Jibu ni 60%
CB0B0F3E-F905-4931-B964-2E9B4CFD3AC1.jpeg
 
Kama Tanzania inazalisha umeme kwa 65% gesi na kwa 35% maji, hivyo jumla ni 100%.

Na ghalfla Tanesco akasema uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa kiwango cha maji;

Je, maji kwenye mabwawa yamepungua kwa asilimia ngapi? Nitatoa jibu baadae kidogo

TANESCO

Update: Atakaepata nitamuwekea 5,000/= kwa wakala, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
40%
 
Hiyo 24%umepataje hapo??
Ni 14, nilijichanganya. Gas kwakuwa haijapungua means inazalisha 65% ya umeme uliokiwa unazalisha kabla ya upungufu. Uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa maji, hivyo uzalishaji wa sasa ni 79% ya jumla ya umeme uliokuwa unazalisha kabla ya upungufu, maana yake maji yanazalisha 24% tu ya jumla ya umeme uliokuwa unazalisha kabla ya upungufu wa maji [(79% - 65%)=14%]. Kwahiyo uwiano (ratio) wa kabla na baada ni (14 : 35) , kwa fractions (sehemu) inakuwa (14/35), kwa percentage (asilimia) unafanya mara 100% unapata kwamba maji ya sasa ni 40% tu ya yaliyokuwa kabla ya upungufu, hivyo katika 100% kilichopungua ni 60%.
 
Gas kwakuwa haijapungua means inazalisha 65% ya umeme uliokiwa unazalisha kabla ya upungufu. Uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa maji, hivyo uzalishaji wa sasa ni 79% ya jumla ya umeme uliokuwa unazalisha kabla ya upungufu, maana yake maji yanazalisha 24% tu ya jumla ya umeme uliokuwa unazalisha kabla ya upungufu wa maji [(79% - 65%)=24%]. Kwahiyo uwiano (ratio) wa kabla na baada ni (24 : 35) , kwa fractions (sehemu) inakuwa (24/35), kwa percentage (asilimia) unafanya mara 100% unapata kwamba maji ya sasa ni 68% tu ya yaliyokuwa kabla ya upungufu, hivyo katika 100% kilichopungua ji 32%.
Mkuu em fanya math yako vizuri. 79-65 ni 24 au 14
 
40% ni kiwango cha maji cha kuzalisha umeme 14% ili kufikia 35% ya kiwango chake cha mwanzo 60% itahitajika iongezeke, hivyo maji kwenye mabwabawa yamepungua kwa 60%

Nadhani ulipo andika 24 ulijichanganya baada ya kuandika 14.
Yeah, maji yamepungua by 60%
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom