Mentor hazarda wakawaida sana tu! chelsea mtamaliza nafasi ya tano tena msimu huu mpya! nacheki game ya barca hapa vs dynamo.. wakati nikisubiri mighty goners
Ile red card ndiyo "talking point"..............pale ndipo City waliponea............
Ivanovic katucost sana aisee!!