Ni dakika ya 80 mkuu.......Chelsea wanakomboa moja ni 3-2 dakika ya 90 kupitia kwa Betrand!!!!
Tiba
Mh mbona awa chelsea wantaka kunipa presha mm...af sijui nini nimevaa jezi ya chelsea. Ntabadilishia ubungo aisee....
Yap.....Naisubiri kwa hamu sana maana leo kikosi kimekamilika na RVP ndani....mkuu tuna friendly game goners tunacheza leo ujerumani