chelsea vs man city

chelsea vs man city

Master jay

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
194
Reaction score
32
wadai hii game inapigwa muda gan kwa huku kwetu tz. Manake magazeti mengi yameandikwa muda tofauti tofauti sana, aliyotoka jana jana na leo.
 
wadai hii game inapigwa muda gan kwa huku kwetu tz. Manake magazeti mengi yameandikwa muda tofauti tofauti sana, aliyotoka jana jana na leo.
game imeshaanza na sasa ni dk 25 bado ni 0-0
 
What a goal by Torres....

Kazi nzuri sana Ramires...

Chelsea 1-0 Man City

Dakika ya 40

Kadi nyekundu kwa Braslav Ivanovic.....
 
Wanangu man city leo mnaniangusha sana
 
Balantanda...shukran mkubwa. Yan nipo kwenye basi lakini bado nimeshangilia...
Vp ivanovic alifanya nn tena??!
 
Last edited by a moderator:
Hii wanasema ni mechi ya kutafuta mshindi wa Community Shield. Kwa nini ni kati ya Manchester City and Chelsea na wala sio Man City na Man U? Nilifikiri hii shield uwa inagombewa na mshindi wa kwanza na wa pili wa msimu wa ligi uliopita? anayejua anifafanulie hapa!!!!

Tiba
 
What a goal by Yaya Toure...

Chelsea 1-1 Man City

Dakika ya 53
 
Man C wamesawazisha sasa 1-1 kupitia kwa Toure!!!!

Tiba
 
Hii wanasema ni mechi ya kutafuta mshindi wa Community Shield. Kwa nini ni kati ya Manchester City and Chelsea na wala sio Man City na Man U? Nilifikiri hii shield uwa inagombewa na mshindi wa kwanza na wa pili wa msimu wa ligi uliopita? anayejua anifafanulie hapa!!!!

Tiba
Community shield(zamani Charity shield) hushindanisha bingwa wa EPL(Man City) na bingwa wa FA(Chelsea)......Hiyo ya mshindi wa kwanza na wa pili ni kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara(mwaka huu watacheza Simba na Azam)...
 
Man City wanapata goli la 2 kupitia kwa Tevez. Dakika ya 59!!!!

Tiba
 
Aah mi nilikua nashabikia chelsea ila naona wanazidiwa hapa.... Come on chelsea msiwape man city community shield hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom