chelsea vs man city

chelsea vs man city

Community shield(zamani Charity shield) hushindanisha bingwa wa EPL(Man City) na bingwa wa FA(Chelsea)......Hiyo ya mshindi wa kwanza na wa pili ni kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara(mwaka huu watacheza Simba na Azam)...

Asante mkuu kwa maelezo mazuri na ya kueleweka. Ubarikiwe.

Tiba
 
Pamoja sana mtani.......Msimu wa maumivu na furaha ndo ushaanza hivyo......

Naona Chelsea washaanza kuelemewa

Hawa wauaji wengine wana majembe hatari...Huyu Yaya Toure sijui kafunga kwa shuti kama lile nina wasiwasi na swaumu yake.

Nasri anafunga kiulaini pale Chelsea wametepeta.
 
Goli la 3 kupitia kwa Nasri!!!!!

Tiba
 
leo kazi ipoo yaaan zinaingia kama maji dk 64 3kwa man city nasr
 
AVB hamalizi Christmas ! wapi Peasants
 
Last edited by a moderator:
Chelsea sub....

Anatoka Eden Hazard anaingia beki Ran Bertrand....
 
Chelsea sub...

Anatoka Juan Mata anangia Daniel Sturridge
 
Man City sub.....

Anatoka Samir Nasri anaingia mtaalamu David Silva
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom