Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yanakimbia kwenye uzi wao unakuta yanaranda randa kwemye nyuzi za watu kuandika utumbo.

Mara forward yetu kali, mara Caicedo ni kamanda ila ukija humu hukuti kinega yeyote
 
Endeleeni kudondosha points tu, Mancity soon anakatwa points,nyie na Brighton ndio mtakuwa mnanifatia ,

Nitakuwa nimewaacha points 20

Natangaza ubingwa march

Nasema endeleeni tu kudondosha points

Sitaki kusikia Lawama
 
Kenge hamna timu, mna unafuu tu. Ila mnavyojitoa ufahamu mpo kuwacheka nyumbu.

By december nyumbu na kenge points mnaweza mkalingana au mkaachana kidogo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…