Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Oscar anakosa goli hapa!

Wamegonga mwamba mara mbili!
 
Refa hafai!

Ba anaingia ndani!

Lampard off!
 
PSG wanasaka goli kwa nguvu sana..nimewakubali hawa jamaa
 
Mko wp wale mlisema Kua tutakimbia? Mmeona Mpira PSG kazidiwa mmekimbia!

Cavan anakosa goli hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…