Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,991
- 22,485
Endelea kusubiri hizo mechi 5 na ligi nayo inakusubiri wenzio nahisi wamesimamaππππKumbukeni tumeondoa wachezaji wengi wakongwe na tumemsajili wachezaji wengi wapya + kocha mpya.
Itatuchukua labda mechi 5 mpaka 10 kocha na wachezaji, wachezaji kwa wachezaji kuelewana/muunganiko mzuri na kupata Matokeo chanya.
Kuweni wavumilivu, matumaini yapo.
πππππ75'
Mauricio Pochettino ameamua kufanya
mabadiliko. Noni Madueke (Chelsea) anachukua nafasi ya Conor Gallagher.
Vipi matokeo πππππππ83'
Mauricio Pochettino ameamua kuchukua nafasi ya Malo Gusto na nafasi yake kuchukuliwa na Mason Burstow (Chelsea).
Shida ni kwamba tumesajili wachezaji vijana tupuKumbukeni tumeondoa wachezaji wengi wakongwe na tumemsajili wachezaji wengi wapya + kocha mpya.
Itatuchukua labda mechi 5 mpaka 10 kocha na wachezaji, wachezaji kwa wachezaji kuelewana/muunganiko mzuri na kupata Matokeo chanya.
Kuweni wavumilivu, matumaini yapo.
Team limejaa mashoga tupu. Yanabadili mitindo ya nywele tu ili kuwavutia mabashaKenge nyie. Waporaji wakubwa nyie poreni na hizo three points basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chelsea ni kikundi cha wanywa Mbege
Mmeanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na bdo mmebebwa mmepewa dk 6 ili mrudishe goliShida ni kwamba tumesajili wachezaji vijana tupu
Timu inahitaji mchanganyiko