Nzuri hyo[emoji117] Kuongezea club yake ya Dodgers ina wachezaji wawili wanaongoza kulipwa mishahara mikubwa kwenye hiyo ligi ya baseball Marekani
[emoji117] Aliyekuwa mkurugenzi wa Masoko THE BLUES ameachia ngazi, hii ni baada ya TODDY kumpa kazi Economic Analyst kuifanyia tathimini THE BLUES kwenye swala la mapato.
[emoji117] Ripoti ya huyo mtaalamu wa uchumi imesema kwamba THE BLUES inakusanya mapato madogo sana ukilinganisha na fursa zilizopo kubwa za kupata mapato makubwa zaidi hence uwekezaji mkubwa zaidi
[emoji117] Ndio maana TODDY mpango wake wa kwanza ni kukarabati uwanja wa Stanford Bridge uwe wa kisasa na uwe ni sehemu ya kustarehe na kupata burudani nyingi zaidi ya kuangalia mpira (Yaani pawe sehemu ya mtoko)
[emoji117] Toddy anaiona Chelsea inapaswa iwe club tajiri zaidi tofauti na ilivyo sasa.
[emoji117] Pia amesema ishu sio kuspend pesa nyingi kwenye madirisha ya usajili, bali ishu tunatakiwa tufanye sajili za kimkakati watakaoingia kwenye mfumo wa kocha, na TODDY amesema kwenye usajili tutatumia Liverpool style.
Thomas Tuchel amepewa rungu la kuchagua wachezaji anaowataka wasajiliwe.
[emoji117] Kwahiyo TODDY ameachana na ule mfumo wa usajili wa Roman kwamba uongozi ndio unamsajilia kocha wachezaji, wanaishia kuflop hawaendani na mifumo, style na mbinu za kocha.
Kuna habari za dembele kukaribia kukubali kujiunga n Chelsea[emoji117] Kwahiyo mpaka sasa, mchezaji ambaye tuna uhakika wa kumsajili ni Kounde.
[emoji117]Perisic ametupiga chini.
4-3-3
PULISIC ----------- LUKAKU --------------- MOUNT
KOVACIC ----------- KANTE ---------- GALAGHER
CHILWELL ---- KOUNDE --- SILVA ------JAMES
Hapana sio leoLeo ni siku ya mwisho ya kuwa mabingwa wa Ulaya [emoji24][emoji24]
Hamjamuelewa point yakeSiku ya mwisho? Serikali ya UK imeifuta CLUB yetu?
Usilie inatakiwa ufurahiLeo ni siku ya mwisho ya kuwa mabingwa wa Ulaya 😭😭
Dembele akija akina Lukaku na Werner watafunga zaidiKuna habari za dembele kukaribia kukubali kujiunga n Chelsea
Ndio kwa lukaku tumepata hasara mle asepe tu. Pia majeruhi ya kina chillwell nk pia hizo sanction zina madhara kwa maana posho nk vilizuiwaWala sio sanctions, bali safu ya ushambuliaji (Pulisic, Werner, Lukaku, Kai, Odoi, Ziyech) wametuangusha sana msimu huu.
Nimefurahi Hazard kubeba UEFA.Hazad kachukua UEFA huko
Barca hawana ela wale, wamefilisikaLewandowski keshamalizana na Barca
UEFA Coefficient factor ni kipimo cha ushiriki kwenye mashindano ya UEFA kwa mfumo wa points.Hiyo inahusu nini?
Labda kwa style hiyo tunaweza kumpata. Ila hawa wachezaji kwa jinsi wanavyozipenda timu za Spain hashindwi kuushusha mshahara wake ili tu asajiliweBarca hawana ela wale, wamefilisika
Mesi
Countinyo
Griezman
Na wengine kadha wa kadha wameondoak Barca ili wapate unafuu wa expenditure, hiyoi pesa wanayotaka Bayern na mshahara wa Lewandowski hawataweza kumudu. Na Lewa kashasema kuna mambo hayajakaa sawa kule Barca ila kasema kutoichezea Bavarian ni uhakika