Huyo mumeo abraham kwa nini usimfuate huko huko roma, kama unaona anajua sana.Hakuna mchezaji muingereza aliyefunga magoli mengi kumzidi Tammy Abraham(17) katika ligitano kubwa ulaya.
Muda utasema yanajirudia yale ya KDB, Salah. Pia tusisahau Fikayo Tomori ndio amekua muhimili wa defense ya Ac Milan msimu huu mpaka kupelekea kubeba ubingwa wa Seria A.
Kuwa na heshima na mawazo ya mtu hata kama unaona ni yakijinga kuliko kucomment ujingaHuyo mumeo abraham kwa nini usimfuate huko huko roma, kama unaona anajua sana.
Acha aende watakuja wengineEuro 400,000 kwa wiki
Mkataba miaka 4
Bado analaumu uamuzi wake wa kuihama Chelsea
View attachment 2239106
What a good moveBoehly will allow Tuchel to rebuild Chelsea squad in his own identity - just as Pep Guardiola and Jürgen Klopp have done.
Lukaku ni parasite, TT amtimue mapemaHuyo anataka kuongea nini na mmiliki? si aongee na TT ndie kocha wake?
Romelu Lukaku’s representatives want immediate talks with Todd Boehly, Lukaku is determined to make it work at Chelsea.
Huo ni mkataba wake na Real Madrid, Tonny anajuta kwa kuwa yeye binafsi alitaka kubaki ChelseaAcha aende watakuja wengine