Rev.Kishoka
Platinum Member
- Mar 7, 2006
- 4,527
- 1,555
chelsea fans singing ' f.u.c.k off benitez, ur not welcome here' 'only one di matteo' sijawahi sikia new manager kaenda kwenye team alafu anazomewa hakuna fan anayemtaka hii kali..bt u know what...abromavich doesnt give a hoonus about u fans
chelsea fans singing ' f.u.c.k off benitez, ur not welcome here' 'only one di matteo' sijawahi sikia new manager kaenda kwenye team alafu anazomewa hakuna fan anayemtaka hii kali..bt u know what...abromavich doesnt give a hoonus about u fans
Mi naona fans wapuuzi kwanini wasipige kelele khs abromovic maana alikuwepo uwanjani na yy ndio kamtimua na kumleta huyu.
All in all Torres kaisha
Hivi what will they chant if he wins a Club world cup and Epl? Its possible au kwa sababu alikuwa Liverpool na Mara mbili akiwato semi finals ya Ucl?
Pazi umenena ila kiukweli Torres hata yeye auzwe timu nyingine maana pale hawezi fanya kitu na ndio sababu chelsea haishindi inaonekana wameambiwa wakipata mpira wampe Torres pekee ndio maana hata chances za kina Mata walizipeleka kwa Torres ila ikawa bure maana anadondoka
Pensioners, where are you?
Mkuu nakubaliana na WW wale washabiki wote wangemzomoea Abromovic labda wanamuogopa mwenye pesa, Benitez kwa Maoni yangu naye kachemsha au kafata pesa za upesi then mwakani bye hajali. Fan wa Chelsea hawakuwa na haja ya kumzomea Benitez yupo kwanza kwa muda mfupi mpaka season kuisha, Chelsea wanachomchukia Benitez ni kejeli alizowaambia kuwa Plastic fan with Plastic flag. Watu wengi wanamshangaa Abromovich ila jamaa anamachungu na pesa zake na kazi yake angekuwa Arsenal zamani Wenger angeondoshwa. Torres ndio wakutolewa Chelsea Ancelotti ndio waliomuonea si D Matteo Uengereza wana watu wao Media pia zinachangia Benitez kuchukiwa England sababu wao walitegemea Harry Redknapp atapewa kumbe Ola tizama magazeti yatavyokuwa kila siku yanaandika uzushi wa Benitez na wachezaji mtu wanayemshindwa ni Wenger pia hapendwi na Media. Wenger na Benitez ni ma Manager Media haziwapendi England.
nikuulize umeshawahi kusikia chelsea wanatoa draw 0-0 wakati wana talent kama hazard, mata na oscar? bt benitez kaingia pale saivi wanatoa draw bila bila..
unakumbuka enzi zake liverpool? alikua anatoa draw bila bila kibaoooooo...huyo ndio benitez...HE'S BACK
Mpaka leo sielewi kwanini Hazald aliichagua Chelsea badala ya Man u
Simple walitoa pesa nzuri na anacheza mpira apate pesa!