hio frontline ya liver inatishia amaniEPL 2021/2022
LUKAKU = Goals - 3, Assist - 0
KAI = Goal - 1, Assist - 0
PULISIC = Goal - 1, Assist - 0
WERNER = Goal -1, Assist - 1
MOUNT = Goal - 0, Assist - 1
ZIYECH = Goal - 0, Assist - 0
ODOI = Goal - 0, Assist - 0
--------------------------------------------------------------------
SALAH = Goals - 7, Assist - 4
MANE = Goal - 5, Assist - 0
FIRMINO = Goal - 4, Assist - 1
JOTA = Goal - 3, Assist - 0
--------------------------------------------------------------------
BRUYNE = Goals - 2, Assist - 0
JESUS = Goal - 2, Assist - 4
TORRES = Goal - 2, Assist - 1
SILVA = Goal - 2, Assist - 0
GREALISH = Goal - 1, Assist - 1
GUNDOGUN = Goal - 1, Assist - 0
STERLING = Goal - 1, Assist - 0
MARHEZ = Goal - 1, Assist - 1
--------------------------------------------------------------------
Headless chickenMwanaume mzima unataka kupewa raha.? Au ww mwenetu sio riziki.?
Sio kwamba Brentford wamecheza vizuri, jana nao walinza game kwa woga na kujihami sanaBahati tu ilikuwa upande Wetu. Ila Hawa Brentford ni team ya kuangaliwa Sana Msimu Huu
Huyo Ivan Tony anafananishwa na Drogba, Chelsea wamdake haraka sana. Tukiwa na Striker wawili kule mbali kaliba ya Ivan Tony na Lukaku itatisha sanaIvan Toney remember the name
Chelsea structurally is top, individually they lack creativity then few goals you cant compare with the likes of De bruyne ,Salah, TAAEPL 2021/2022
LUKAKU = Goals - 3, Assist - 0
KAI = Goal - 1, Assist - 0
PULISIC = Goal - 1, Assist - 0
WERNER = Goal -1, Assist - 1
MOUNT = Goal - 0, Assist - 1
ZIYECH = Goal - 0, Assist - 0
ODOI = Goal - 0, Assist - 0
--------------------------------------------------------------------
SALAH = Goals - 7, Assist - 4
MANE = Goal - 5, Assist - 0
FIRMINO = Goal - 4, Assist - 1
JOTA = Goal - 3, Assist - 0
--------------------------------------------------------------------
BRUYNE = Goals - 2, Assist - 0
JESUS = Goal - 2, Assist - 4
TORRES = Goal - 2, Assist - 1
SILVA = Goal - 2, Assist - 0
GREALISH = Goal - 1, Assist - 1
GUNDOGUN = Goal - 1, Assist - 0
STERLING = Goal - 1, Assist - 0
MARHEZ = Goal - 1, Assist - 1
--------------------------------------------------------------------
Hapana, mmoja wa aliyesababisha tuanze kulemewa ni Kovacic, alikuwa amechoka na TT akaliona hilo pamoja na kwamba Brentford walishapayta ujasiri wa kushambulia kwa hiyo kutoka kwa Kova hakukusaidia kituLukaku alikua wakutoka mapema tu, mana alikua mzururaji uwanjani. Mi nimeona baada ya kutoka kova mambo ndio yakawa magumu kbs.
Chelsea kutokuwa na mfungaji mmoja inaweza kuwa advantage. Hizo timu zenye mfungaji mmoja mmoja siku akidrop form ndio mtajua mbichi na mbivu. Kwenye ligi kwa sasa Chelsea ina wafungaji 12 na kwa michezo yote wachezaji 14 wameshafunga magoli. Hakuna timu kwenye ligi zote 5 kubwa wenye stats kama hii. Kama hali ikiendelea kuwa hivi, yaani kila mchezaji akawa anafunga na ufungaji wa Lukaku na Werner na wengine kule mbele ukaongezeka kidogo. Chelsea itakuwa timu hatari sanaEPL 2021/2022
LUKAKU = Goals - 3, Assist - 0
KAI = Goal - 1, Assist - 0
PULISIC = Goal - 1, Assist - 0
WERNER = Goal -1, Assist - 1
MOUNT = Goal - 0, Assist - 1
ZIYECH = Goal - 0, Assist - 0
ODOI = Goal - 0, Assist - 0
--------------------------------------------------------------------
SALAH = Goals - 7, Assist - 4
MANE = Goal - 5, Assist - 0
FIRMINO = Goal - 4, Assist - 1
JOTA = Goal - 3, Assist - 0
--------------------------------------------------------------------
BRUYNE = Goals - 2, Assist - 0
JESUS = Goal - 2, Assist - 4
TORRES = Goal - 2, Assist - 1
SILVA = Goal - 2, Assist - 0
GREALISH = Goal - 1, Assist - 1
GUNDOGUN = Goal - 1, Assist - 0
STERLING = Goal - 1, Assist - 0
MARHEZ = Goal - 1, Assist - 1
--------------------------------------------------------------------
Yaani hata kuruka hakuna aliyekuwa anaweza tena, utafikiri walilishwa iriziHivi zile Dk 20 za mwisho tulikwama wapi
Brentford walikuwa vizuri, Compact in each phase of play, GK kama Kepa mngefungwa 2-1 / 3-1Sio kwamba Brentford wamecheza vizuri, jana nao walinza game kwa woga na kujihami sana
Tatizo lilikuwa kwa Chelsea, walionekana kuchoka kuanzia dk ya 60+ na kuongeza confidence ya Brentford kushambulia.
May be kwa sababu ya kukosekana na Rudiger na Silva kwa wakati mmoja
Tukifika January bado tuko juu hi Premier tutaibeba kwa kikosi chetu kinaridhisha kama wakina charabo sur wanapewa mechi na tunashinda ni ishara nzuri kwamba kikosi cha kwanza kina pumzika kusibiri decisive games.Naangalia timu kama Liverpool ikiwa inashambuliwa formation yao huwa haivurugiki na huwa hawapaki bus kujilinda.
Liverpool kujilinda kwao pindi wanaposhambuliwa ni kwa kutoka haraka langoni kwao kupiga mipira kwenda mbele na wanapanda haraka kuizuia huko huko juu isirudi tena langoni mwao.
Sisi hapa tukiokoa mipira langoni mwetu ikienda mbele, ghafla inarudi tena nyuma kwa kasi ya 4g. Mabeki wanachoka kukaba, Mendy anaona rangi zote.
Kujilinda sio lazima kupaki bus, na kuvuruga formation nzima ya uchezaji, Kuna mbinu nyingi za kujilinda na bado tukawa hatari kwenye kushambualia.
Huyo Ivan Tony anafananishwa na Drogba, Chelsea wamdake haraka sana. Tukiwa na Striker wawili kule mbali kaliba ya Ivan Tony na Lukaku itatisha sana
Ufupi nao ulichangia, nazani Rudiger na Silva hali ingetuliaYaani hata kuruka hakuna aliyekuwa anaweza tena, utafikiri walilishwa irizi