Yaani Gallas ni M SE NGE kinyama..... Ina maana hawa T'Ham hawana Mtu mwingine wampe MKOBA huo akae nao????? Beki gani pambaf namna hii.....
Ina maana BUBU unataka Chelsea ashinde???? If yes Why?? If No... Dont give a reason.... Gallas katoa Boko....
Naaaaa...I don't want them to win Mkuu, but I was telling the truth about that possibility based on my experience as Football analyst lol!
Hahaha, umeandika zilipofika 3 ukakimbia? Rudi mtani 🙂
Invisible kweli au wamesha kutapeli ID yako .... .... ... ?
Hebu yarudie...?Umeamua kuonekana leo??? Lenon Full kunyanyasa hapa....
Yaani mwenyezi mungu humuongezea alienacho..... Yaani huyu Mata anavyokamua na form aliyonayo lakini kule kwao Spain anakaa Benchi.... Wakati England wanafurahia kupona kwa Wilshere na Bado wanakomaa na mtu kama LAMPARD....
Hebu yarudie...?