Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Yaah ni timu ndogo sana ,imechukua epl msimu huu + carabao + CL final ...
Kai,mount ,Werner hao hawana maajabu yeyote hapo kwenye league ya kibabe ...Wewe level yako ya ushabiki ni ya Simba na Yanga, iletagi hoja wala hujibu hoja.....nikelele tu kama tu. Acha watu walete taarifa na uchambuzi, utalejea badaye ligi ikianza mwezi wa nane.
Yaan mwarabu ametumia zaid dollar billion 1 kutengeneza kikosi alafu unamwambia hutaki makombe unataka kucheza kama playstation unaakili kweliSisi hatuna shida ,as long as we play good football ,trophies its bonus ...
Nyie kama mnakamia makombe ni nyie ,sisi tunarelax , CL is their to stay tutachukua hata 2050...
Tunachotaka ni burudani la tiktak football from our best manager pep ...
This is our city we go ...
Tunacheza mpira kama play station
Soka ni burudani na burudani ziko kwa ze cityzen ..Yaan mwarabu ametumia zaid dollar billion 1 kutengeneza kikosi alafu unamwambia hutaki makombe unataka kucheza kama playstation unaakili kweli
Makombe hayaji yenyewe yanapambaniwa Chelsea kipindi cha Lampard tulikua tunacheza mpira mzuri mechi ikiisha tumefungwa akatupeleka mpka nafasi ya 9 kwenye ligiSoka ni burudani na burudani ziko kwa ze cityzen ..
We first create good form of playing football then makombe yatakuja yenyewe tu ...
Kama mlikuwa mnafungwa basi mlikuwa hamchezi mpira mzuri ....Makombe hayaji yenyewe yanapambaniwa Chelsea kipindi cha Lampard tulikua tunacheza mpira mzuri mechi ikiisha tumefungwa akatupeleka mpka nafasi ya 9 kwenye ligi
2013 Lukaku akakosa penalty dhidi ya Bayern.2019 Abraham akakosa penalti
Nottingham forest ana uefa 2 na Super cup 1. Wewe man city una nini kama siyo umening'iniza kengele zako tu.Yaah ni timu ndogo sana ,imechukua epl msimu huu + carabao + CL final ...
Sasa hio nottingam forest hata league kuu haipo ,nikisema wewe ni kilaza utabisha ,
Unaleta mambo ya historia kwenye current football ???
Siwezi bishana na timu ambayo vikombe vyao ni hivi vilishaexpire kiufupi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1813146
Hujaelewa point yangu, cjasema tumtegemee Giroud, at that tym ndio yeye ndio tuliokua nae sasa ilikua ni sawa kucheza bila striker wkt giroud yupo?[emoji3][emoji3][emoji3] Mzee angalia na wapinzani anaocheka nao nyavu ...yeye ni finisher mzuri Sawa Ila km unataka kombe la EPL huwezi mtegemea wkt wenzako unakuta wamemsajili kane
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hyo mada ishaisha Mzee sahv tuombe dili la halaand litiki Tu ....tumechukua biggest title basi...plan ya kocha haikuenda vzuri kutokumwanzisha giroud games z mwshoni hizi I hope amejifunza ..hata pep plan yake kuanza bila holding midfielder game ya final ilimfelisha kiasi chake....Hujaelewa point yangu, cjasema tumtegemee Giroud, at that tym ndio yeye ndio tuliokua nae sasa ilikua ni sawa kucheza bila striker wkt giroud yupo?
Akija na huyu Reece James atakaa mkoba kule nyuma...tutabakiwa kutafuta midfielder na CF ( halaand) cmon Chelsea[emoji123][emoji123] View attachment 1813296
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Weww ni mbwa tu hio Nottingham forest takataka ya miaka 90 ndio unalinganisha na city ..Nottingham forest ana uefa 2 na Super cup 1. Wewe man city una nini kama siyo umening'iniza kengele zako tu.
Weww ni mbwa tu hio Nottingham forest takataka ya miaka 90 ndio unalinganisha na city ..
Hujielewe hata uefa haikuwepo sijui ilichukua uefa gani ,....
imachukua European cup ,yaan miaka hiyo 1979 na 1980 ,uefa ilikuwa haipo kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikujua kama Chelsea kuna vilaza namna hii ...
We talk about current issue ,unalinginisha takataka za 90 na watu wa 2021 ? Unaakili kweli wewe ..
Hata huko shulen umeenda kupoteza muda tu ,hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi zote ni hasira sababu hauna european cup yoyote?Weww ni mbwa tu hio Nottingham forest takataka ya miaka 90 ndio unalinganisha na city ..
Hujielewe hata uefa haikuwepo sijui ilichukua uefa gani ,....
imachukua European cup ,yaan miaka hiyo 1979 na 1980 ,uefa ilikuwa haipo kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikujua kama Chelsea kuna vilaza namna hii ...
We talk about current issue ,unalinginisha takataka za 90 na watu wa 2021 ? Unaakili kweli wewe ..
Hata huko shulen umeenda kupoteza muda tu ,hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CL imeanza 1992 /93 kama sijaokosea ,sasa hao wamechukua CL lin ?Bro hebu tulia kwanza,
Hivi uefa ni nini,yamkini unaongea usichokijua,ni timu ipi imewahi ichukua uefa