hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,037
Nishasema huu msimu ni wa Burdani kwa Chelsea .Wenye chuki na lamps vipi mko wapi sahivi
Ft.che 4-1Shu
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndio tunavyozidi kuimarika
Ziyech tuliwaibia ajax kwa zile 33M
Wale waliosema tumepigwa kwa chilwel bado wapo
Tunaenda international break, tuombe kusitokee injury yyt or player yyt kupata corona
Yani ni mwendo wa "kula nyama zote" hatuachi hata mifupa😂😂😂FT
CHE 4 - SHU 1
Yan siku hizi ni mwendo wa 4-1 au 3-0 😀😀
Sahiv tim ishaanza kukaa sawaFT
CHE 4 - SHU 1
Yan siku hizi ni mwendo wa 4-1 au 3-0 [emoji3][emoji3]
Wenye chuki na lamps vipi mko wapi sahivi
Ft.che 4-1Shu
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndio tunavyozidi kuimarika
Ziyech tuliwaibia ajax kwa zile 33M
Wale waliosema tumepigwa kwa chilwel bado wapo
Tunaenda international break, tuombe kusitokee injury yyt or player yyt kupata corona
Utaacha lini ramli
Endelea na ramli yako utafanikiwa
Huyu jamaa ameshakuwa gumzo la pale mjini London na Uingereza nzima. Hajachukua muda ameshaanza kumwa man of the match na ataendelea kwenye mechi nyingi sanaMliokuwa mnasema Ooooh Willian abaki ili aendelee kumpa uzoefu Ziyech mko wapi?
Hebu mkuje hapa tuzungumze kwanza. View attachment 1621995
Ziyech bana, mipira ya krosi au kona zinaenda golini hata isipoguswa na oponent wameshaanza kumshitukia. Tunahitaji wachezaji kama hawa ambao ni Goal minded. Willian alikuwa anaweza kuwa yeye na goli na bado asifungeHuyu wizard Ziyech ukimpa space apige projection motion ball umekwisha, you will suffer consequences and underground movement per time