Mount na Havertz wote wameanza pamoja. Pulisic ndani ya nyumba na Jorginho. Leo naona mpira wa kushambulia unatandazwa. Long ball za Jorginho zinaweza kutusaidia kupitia Pulisic tukapata magoliView attachment 1603116
Amin nakuambia tunatoka leo. Hawa wanalala si chini ya goli 3Hii squad ilituuza 2-0 kwa Southampton hapa darajani mwaka jana. Je safari hii imekuwa bora?
Chelsea (3-4-2-1) Arrizabalaga; Rudiger, Zouma (Mount h/t), Tomori; Azpilicueta (c), Kante, Jorginho, Emerson; Hudson-Odoi (Pulisic 67), Willian (Pedro 84); Abraham
Mount na Havertz wote wameanza pamoja. Pulisic ndani ya nyumba na Jorginho. Leo naona mpira wa kushambulia unatandazwa. Long ball za Jorginho zinaweza kutusaidia kupitia Pulisic tukapata magoliView attachment 1603116
Unajua mie sikuelewi kwa hyo kam ilifanya hivyo kwa kila cku itakuwa hivyoooHii squad ilituuza 2-0 kwa Southampton hapa darajani mwaka jana. Je safari hii imekuwa bora?
Chelsea (3-4-2-1) Arrizabalaga; Rudiger, Zouma (Mount h/t), Tomori; Azpilicueta (c), Kante, Jorginho, Emerson; Hudson-Odoi (Pulisic 67), Willian (Pedro 84); Abraham
Chilwel ametupa kitu tofauti upande wa kushoto
2nd goal. WernerView attachment 1603186
1st goal. WernerView attachment 1603180