Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vimishahara mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kuna watu hapa wakula mishahara ya bure kabisa
Hiv odoi ngapi anapokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dembele hana thamani hiyo wanayotaja , huyo sana sana waseme £45-50m
 
Chelsea will NOT push through £40m Nathan Ake transfer until they can offload Andreas Christensen.

Hivi jamani kuna club inataka kumnunua Christensen? Naona Marina ameamua kuwa mjasiriamali.



Sent using Jamii Forums mobile app
Sema huyu mama Anajuaga sana kusajiri ,sema analanguliwaga sana hasa bei kubwa

Sitashangaa January hii mkipigwa za uso kwa Dembele au Lemar
 
Nyinyi ndio mlikuwa mnatusema sisi tumesajili Pepe ....leo mnapigania kusajili flop Lemar?????
Na mlijitapa hapa pesa mnayo ni kuwaponda wachezaji wa kifaransa eti wanagalagala kama maguruwe hahahahaaaaa

Be prepared for new Bakayoko maana huyu nae walikuwa kapu moja pale Monaco.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kasema Lemar atasajiliwa, wewe kweli unashida tena kubwa, tetesi za kwenye media ndio unatumia kama agenda ya kuponda
 
Dah,, kweli board yetu imekua haina nguvu tena ya ushawishi...

Tumebaki tu hoehae,, kila mchezaji tunamtaka, hatuna target kabisa..

Naona tottenham wanakaribia kumsajili piatek kwa paund 28 mil tuu..

Sie tunaruka ruka tu,, hailweki hata tunaemtaka ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…