Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
You have hit the nail dude!
Mimi nishaanza waogopa hawa!, nafikiri approach yetu kwa hawa jamaa iwe more 'diplomatic',esp. wakichapwa..! tumeshazoea kuwasiliba vibaya Ze Gunnaz ila hawa ukigusa tu, lazima uingie choo cha kike-the next day unaweza kuta hataku-log inn humu ndani ikawa utata!
All n All thanx for taking the initative, kumbe mlikuwa wengi washabiki bwana mmejificjha?, mkawa mnadandia dandia tuu threads za timu sio zenu?
Nawasubiri Liverpool nao wa-take initiative kam yenu, nafikiri itapendeza zaidi kuwa na BIG FOUR ndani ya Jukwaa letu la 'kupunguza Stress'..!
acheni longolongo yenu (Manda na Roya Roy)
...hebu wish us the best na hao Roma basi...kwa roho safi.
Simba inaweza kufungwa nikaendelea kuchekelea tu...
Najaribu kufikiria wewe Roy ulivyo na 'ushetani' wako tena mwekundu ukabidhiwe rungu kama Mod na 'shetani' wenu abamizwe na wakamata mitutu... Sipati picha utakavyowa-ban kina Game Theory!
Kesho tutaangalia hapa kama mtakuwepo, si mnacheza na Roma (mambo ya kwenye Seria A sio mazuri? Once upon a time they were nailed 7 by Man U.
Unakumbuka ile fainali na Stella Abidjan? Nilikua sekondari na karedio kadogo.
Really?Dah sasa roya ndugu yangu unaongea masuala ya once upon a time unadhani kesho tutakuwa tunacheza tukikumbuka hiyo historia ya Man U? Well nakuomba tu ukumbuke kuwa wa kwanza kutupongeza hapa maana ndio michezo ilivyo...usije nuna tu kama mke mwenye gubu...
Hapo ruko sawa....some years back nilikua nakaribia kutoa machozi Wekundu wa Msimbazi wakifungwa! Unakumbuka ile fainali na Stella Abidjan? Nilikua sekondari na karedio kadogo.
Haina maneno we nipe umod....naahidi sitam-ban mtu yeyote Man ikifungwa na ganaz (japo haiwezekani ganaz kuwafunga Man), ofkoz mtu akileta za kuleta namsitishia access kwa wiki moja tu, no more!
sanda-matuta, Ab-Titchaz, Invisible, nk! mnatosha kuipa uhai thread ya Bluz.
Sababu mna mods wawili, msijipendelee mkatuzuia ambao sio bluz kuchangia humu(mostly mkiboronga)π!
Karibuni
poleniiiii ehhh tatu???dah ka vile mlikua mmesimama!!!mbele walikazana...nyuma mkaachia hadi mkapigwa bao tatu.yalaaaah!!!!
Poleni sana vijana wa darajani naona mmefungua thread kwa kipigo
YES WE CAN (It should have been blue?) Kama unamaanisha next EPL game kwetu.P.S. What makes u think that Ganaz hawawawezi Man U?...Jamani uzalendo mnao na hebu punguzeni....iiissssshhhhhh!
Thanx kwa kunisaidia kudai umod....BTW kama mkiona inafaa mpeni umod Manda ama Icadon ama ..nasisitiza ila kubalansi mamboπ!BTW Invii consider Roya Roy's application maana najua atatembea humu ndani na 'big stick' yake akiambatanishwa na Manda na Icadon(ile video yake ya mwaka jana tukienda Urusi niliimaindi we acha tu...afu mkatufunga...damn!!!!)
Kule kwa jaluo tuko pamoja mkuu...ile kitu ni ya kipekee.Usiku kucha unajua sijalala, nikiwa nafuatilia Historia inaandikwa. Sasa come to think of it nimeanza kuhisi kama Chelsea imetolewa kafara ili historia iandikike duniani kwa ukamilifu.
Natumaini kupingwa katika hili lakini ni jambo ambalo linahitaji fikra zenye busara na si ushabiki wa pupa kulipambanua...
Dah tatu sio mchezo yaani kuna tamu na Chungu!
Ndo maana nikadai na sie Man tupewa umod ili kubalansi mambo...ili tutoe mawazo yetu kwa uhuru kamili!Tuna Modz wawili ambao ni The Blues sasa nimeangalia na kuona kwamba thread hii ina 'bugs' kibao. Hatuwezi ifunga kwa muda ili muiweke sawa. Najua kutokana na kazi nyingi baada ya siku tano saba hivi itawa imetengemaa.
Invisible do something husiana na hili. Inasababisha traffic iwe kubwa kwa kweli!!!
Nikikumbuka ya Stella Abijan basi huwa nakosa raha mkuu. Usikumbushe tu...Hapo ruko sawa....some years back nilikua nakaribia kutoa machozi Wekundu wa Msimbazi wakifungwa! Unakumbuka ile fainali na Stella Abidjan? Nilikua sekondari na karedio kadogo.
Tushapoa mkuu... Lakini hukuona kama timu tuliyocheza nayo ni tofauti na mliyoifunga (kwa kubahatisha)? Halafu tulicheza vizuri zaidi yao sema bahati haikuwa yetu. Uliangalia ball possession? Tulikuwa na 60% wao na 40%!Mwisho POLENIπ !