AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 19
formation kaka, formation! ...mkicheza tena 9-1-0 angalau mnaweza kwenda mpaka extra minutes kisha penalti,....
lakini mkibadili tu formation, let say mkacheza zile za kawaida 4-4-2 au 4-3-3 mmekwisha...! Unaona Real Madrid walivyofanyiwa juzi ndani ya Bernabeu?...au Bayern Munich?....
'Kiyama' chenu kinakuja!
Chelsea wenzenu wamenyolewa nanyi kaeni mkao wa "tayari" there is no way out - mnyolewe na akina messi au mnyolewe fainali "tena"
Chelsea gemu ya kesho inabidi isiwaige Arsenal kujifanya wanatanua na kutandaza samba a.k.a total football. Wakijifanya wanashambulia tu Izraili atabisha hodi.
Salama yao ni kucheza formation yao ileile ya gemu ya kwanza ya 1-10-0 na kusubiria penati ..lol
MOURINHO said:... ''Did I like how Chelsea played or not? I don't know. It's my old team and for me it's difficult to judge".
''What I can say is that it is the strongest team in the world in physical terms.
''Certainly they didn't do anything to score, but if (Guus) Hiddink is confident they can win at home that result they got will be a great result.''...
Wanachelsea
Leo inabidi gemu tuanze makini, jamaa wasije maliza mchezo within 10 min kama yaliyowakuta Gooners
Lets containing 4-1-4-1 with Malouda, Essien, Lampard, Ballack accross the middle, and Mikel sweeping in front of the back four. Cole on Messi, Bosingwa on the right. Alex and Terry in the centre. This should enable us to survive a nervy first 30-40 minutes. Tukicontrol game anaingia Anelka for Mikel and we switch to 4-4-2 kwa counter attacks maana jamaa watachanganyikiwa watatushambulia Drogba na Anelka watawamaliza, ukizingatia hawana reliable central defender
My prediction
Chelsea 2 Barca 1
Masa & Bellies
...hapo kwenye 4-1-4-1 si mpaka ikubaliane na 4-3-3 ya Barca...
huwezi cheza 4-1-4-1 wakati Barca wana Mesi, Eto'o na Henry pale mbele... inabidi uvunje tu ubakie na 4-4-2, au uzibe na 4-5-1 😀 te he he heee,...angalau vidonda vyangu (vya jana) vimeanza kukauka kidogo kidogo!
Kamanda
Kule kwao tulicheza hiyo 4-1-4-1, tukawabana...Messi atakuwa kama hayupo leo maana Cole anamdhibiti...Henry na Etoo wapo akina Terry, Alex na Mikel....sijui lakini Guus anawaza nini...ila utakuwa mpira mgumu kwa pande zote
Chelsea 2 Barca 1
...no bana, mngecheza hiyo 4-1-4-1 kule spain angalau mngeibuka na several shots towards their goal. Ukiniambia hiyo formation ilichezwa 1st 8-10 minutes sawa. the rest ilikuwa '...yaaaaaaaaaaawwwwwwwwwn!'
Wanachelsea
Leo inabidi gemu tuanze makini, jamaa wasije maliza mchezo within 10 min kama yaliyowakuta Gooners
Lets containing 4-1-4-1 with Malouda, Essien, Lampard, Ballack accross the middle, and Mikel sweeping in front of the back four. Cole on Messi, Bosingwa on the right. Alex and Terry in the centre. This should enable us to survive a nervy first 30-40 minutes. Tukicontrol game anaingia Anelka for Mikel and we switch to 4-4-2 kwa counter attacks maana jamaa watachanganyikiwa watatushambulia Drogba na Anelka watawamaliza, ukizingatia hawana reliable central defender
My prediction
Chelsea 2 Barca 1
Masa & Bellies
Keep Dreaming ....Leo usikimbie hapa jamvini. "We will never walk alone" Mechi ya Baca Jumapili inajirudia leo hapo Darajani.
Wanachelsea
Leo inabidi gemu tuanze makini, jamaa wasije maliza mchezo within 10 min kama yaliyowakuta Gooners
Lets containing 4-1-4-1 with Malouda, Essien, Lampard, Ballack accross the middle, and Mikel sweeping in front of the back four. Cole on Messi, Bosingwa on the right. Alex and Terry in the centre. This should enable us to survive a nervy first 30-40 minutes. Tukicontrol game anaingia Anelka for Mikel and we switch to 4-4-2 kwa counter attacks maana jamaa watachanganyikiwa watatushambulia Drogba na Anelka watawamaliza, ukizingatia hawana reliable central defender
My prediction
Chelsea 2 Barca 1
Masa & Bellies
Teh Teh teh teh teh tutakuwepo pedeshee wala usijali kufungwa na kushinda ni sehemu ya mchezo.....!
Ila kitu kimoja, mnakocha mzuri sana. Guus amerudisha amani kambini ila naye kisha anza kusema ameipenda 'filosophy' ya Baca. Tutaonana hapo saa nane EAT.
Msalimie BJ mbwambie asisaahu kubeba 'bisi' nasikia mnaziita 'popo corn'.
Till then, Tchao!
Leo BJ Lazima mpaka mapumziko utakuwa umeshaaamia kwa Messi. Tena natumaini ushanunua 'Uzi' wa MESSI kabisaaaaa tayari kwa sherehe huku darajani. Bacca Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee! wamebana wameachia malizia basi hicho kibwagizo...
Masanilo!nimekupata !ila nina presha sana gemu ya leo...mimi mwenyewe naamini tunashinda hili gemu ila wale vicheche 3 wa Barca watakuwa wameshatupandisha sana persha na kushusha kabla hatujawaua kabisa.leo ndio dunia itatambua kwanini last tuesday Hiddink aliamua kukaba tu bila kushambulia.na watu wataamini Mwandiko mzuri darasani hauna maana kama hujui kitu.watacheza shoo gemu yao kufurahisha watazamaji.ila mimi naamini kutakuwa na goli nyingi kuliko ulizotabiri hapo juu.May be 5-4 0r 4-3.
Ila kitu kimoja, mnakocha mzuri sana. Guus amerudisha amani kambini ila naye kisha anza kusema ameipenda 'filosophy' ya Baca. Tutaonana hapo saa nane EAT.
Msalimie BJ mbwambie asisaahu kubeba 'bisi' nasikia mnaziita 'popo corn'.
Till then, Tchao!
Shadow!
Usinitanie mapema kumbuka jana! Anyway leo ni shughuli, Messi simtoi leo labda Barca wafungwe na chelsea.
Tupo pamoja leo Chelsea ila akikatiza na mpira Messi nashabikia kotekote...
Imba kabisa maana mkisambaratishwa wimbo utakuwa haupandi..he he