aahhhhhaaaaaaaaaa kumbe A'SHARAMkuu 10 kwa Kiarabu inaitwa A'SHARA
Kwahiyo Chelten au Chelsix kapigwa A'shara.
matokeo yenu tunayo mpaka sasaTunacheza saa 5 kamili usiku kwa majira ya East Africa. Cha muhimu ni dstv yako tuu
unasemaje mkuu, 0-2Game ndo karibia inaanza, wanaume tupo Dimbani.. Karibuni nyote