Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wewe ahjumma mtarajiwa, uyo mganga wako na mechi ya simba mpe kazi awasaidie kulipiza kisasi.
mechi ya liverpool dhidi ya arsenal uliwafanyia fitna mpaka wakafungwa 5G na leo hii umewakalia ukuwadi chelsea wafungwe mpaka muda huu washachukua 3G.
4G Kama Ya Voda.

Kumbe Si Simba Tuh!
 
wewe ahjumma mtarajiwa, uyo mganga wako na mechi ya simba mpe kazi awasaidie kulipiza kisasi.
mechi ya liverpool dhidi ya arsenal uliwafanyia fitna mpaka wakafungwa 5G na leo hii umewakalia ukuwadi chelsea wafungwe mpaka muda huu washachukua 3G.
Ila Ukuwadi Wa Leo Wewe Ndo Naona Unauhitaji Sana!
 
Pass success for GK???
You are suppose to assess perfomance of goalkeeeper by saves,cleansheet,no of goals conceed and not pass success
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…