Kama kocha atawasikilizaPoleni wanna Chelsea wenzangu. Katika siku niliyoumia ni Leo. Niliumia Jana baada ya matokeo. Nakupelekea Leo siku yangu kuwa mbaya sana kidogo nitoroke kazini. Lakini kwa sababu Mimi Ni mwanaume nikajipa moyo konde.
Lakini ndiyo matokeo hatuna namna inabidi tuyapokee ivo ivo. But naamini next game vijana watapamban na kurejesha heahima Stanford bridge.
Viva Chelsea. Chelsea 4reva
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yeye hawamsikilizi,raha ni kusikilizana bwana kila upande usikilize mwengine...yeye anataka avute bange mpaka uwanjani ili awape mizuka wachezaji hahaaaaaa nyinyi hamtakiKama kocha atawasikiliza
Wachezaji wanalalamikia kocha hawasikilizi, mazoezi ya asubuhi ya siku ya pambano hawataki, kocha anawalazimisha.
Asije kuwa alivua nguo hadharani kama lvg alivofanyaga bayernCesar Azpilicueta revealed that Sarri and his players ‘spoke like men’ after the defeat: “We spoke as men between the manager and the players.
kwa bei ya Pound Mil 120 aise wazichukue tu asepe zake Madrid
akili yake ipo madrid sasa aende tu tutafute wenginekwa bei ya Pound Mil 120 aise wazichukue tu asepe zake Madrid
afu kale ndiko ka kiwanda ka migomo chelsea, Kwa Jose hivyo hivyo, kwa Conte hivyo hivyo sasa dalili kwa sarri zinaanzaakili yake ipo madrid sasa aende tu tutafute wengine