Costa hata akija labda Luiz ndie ataweza kucheza nae, Jorginho na wasiwasi kama ataweza kumtengenezea mipira kama zile za FabNaona tumeweka. Interest kwa edson cavani na pia Atletico Madrd wanataka kumswap na diego costa
Cavani ni mzuri ila majeruhi huwa yanamwandama sana
Kama Costa anapatikana ni bora tumrudishe costa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jorginho ana miss zile pass za Fab, enzi zile magoli mengi ya Costa yalitoka kwa FABCosta hata akija labda Luiz ndie ataweza kucheza nae, Jorginho na wasiwasi kama ataweza kumtengenezea mipira kama zile za Fab
YES, EPL nzima Fab aliongoza kwa assists takriban misimu mitatu ukiondoa ile misimu akiwa na Arsenal kabla hajaenda BarcelonaJorginho ana miss zile pass za Fab, enzi zile magoli mengi ya Costa yalitoka kwa FAB
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujulishwa lolote linalopostiwa hapa kwa wakti, nime subscribe ila bado notification sipati
Sent using Jamii Forums mobile app