Nakumbuka ile City na QPR kama sijakosea.
Kazi bado ngumu sana, confidence tuliyonayo ni kwa sababu ya strong defense tuliyonayo. Inatupa amani kiasi.
PETER CROUCH has urged Chelsea owner Roman Abramovich to splash the cash to bring Diego Costa back to the club.
Yap, mna best defence in EPL, Ila what if VVD get injured or Allison ? mko 4 points above Man city mainly sababu recently Man city wamepa injuries nyingi ,je ikitokea upande wetu mtaweza kumaintain hilo 4 points gap ? At some point itamlazimu Klopp atoe kafara makombe mengine ili akomae na EPL .. unless mtarudi kule kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Conte tu, hata management nzima haikuweka juhudi ya kumbakizaMtoto mtukutu yule ,kibri sana Costa ,, One of the worse mistake by Conte
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaeleweka mkuu maana unakuta hata skysports baadhi ya habari zao wanazitoa kwenye vyanzo kama SPORTS BILD, TUTTOSPORTS, THE SUN, DAILY EXPRESS nk, alafu mtu akiikuta Sky basi anaiamini. Nafikiri cha msingi ni kwamba je, chanzo hicho kimepata habari kutoka kwa muhusika/wahusika au laKwanza niseme wasomaji wengi almost 70+ % wanapenda Gossip (Tetesi) na ndio maana mitandao na media maarufu duniani wanapenda kutumia tetesi zaidi kama njia ya haraka kuwasilisha hidden news. Tetesi ni upashanaji wa taarifa kabla tukio halijatokea au limetokea lakini taarifa zimefichewa na wahusika. Na by nature taarifa nyingi hasa za usajili ni confidential ili competitors wasitumie mgongo wako kubenefit. Hivyo kuitoa taarifa za kiinteligensia kwa mfumo wa tetesi ndio cheap way ya kupasha habari. Sio kwamba taarifa za tetesi zote ni za uongo, hata kama hilo tukio halikutokea haina maana taarifa ilikuwa ya uongo. kuna media zingine zinapata taarifa kutoka kwenye reliable sources na wengine wanatumia secondary and wengine third party sources hawa wa third party mara nyingi tetesi zao ni za uongo au karibu na uongo.
Njia rahisi ya kujua kuwa hizo tetesi zina ukweli ndani yake, soma kwa kuswap between media angalau 5-7, wote wakielezea kwa style ile ile ina maana tetesi ina ukweli ndani yake
Kwa hii habari ya Higuan ni za kweli kwa 80% kwa sababu zimeongelewa repeatedly na media nyingi maarufu. Labda deal isimature kwa sababu Juventus ni lazima waidhinishe hiyo swap deal
Shida ya hao jamaa huwa wanajifanya wajuaji. Wanagang'ania makombe yote alafu mwisho wa siku wanajikuta wamekosa yoteYap, mna best defence in EPL, Ila what if VVD get injured or Allison ? mko 4 points above Man city mainly sababu recently Man city wamepa injuries nyingi ,je ikitokea upande wetu mtaweza kumaintain hilo 4 points gap ? At some point itamlazimu Klopp atoe kafara makombe mengine ili akomae na EPL .. unless mtarudi kule kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope wakina Odoi na Ampadu wapo.Wadau Loftus kapata injury ?naogopa team yetu itageuka hospital sasa