Ni golikipa bora kwa umri mdogo. Atakuja kuwa the best golie misimu michache ijayo kwa sababu anatumia akili na mbinu katika kusokma mchezo pasi na mwenendo wa game. Kipa mzuri unamjua kwenye chances created alizotibua na mipira ya wazi golini alizookoa kwa ufundi na ujanja. Aliweza kuokoa mipira ya hatari zaidi ya 60 msimu uliopita akiwa Laliga.Haoana tazama aina za beki hivi kweli mfumo wa chelsea wa kupiga pas nying unaweza muona golkipa anafanya kaz na mfano wa wazi n barca kipa wao n mbovu ila ku5okana na mfumo anaonekana bora kepa ni bora sema tu ajapata mashambuliz makali maana beki zipo sawa
UnakaziaNi golikipa bora kwa umri mdogo. Atakuja kuwa the best golie misimu michache ijayo kwa sababu anatumia akili na mbinu katika kusokma mchezo pasi na mwenendo wa game. Kipa mzuri unamjua kwenye chances created alizotibua na mipira ya wazi golini alizookoa kwa ufundi na ujanja. Aliweza kuokoa mipira ya hatari zaidi ya 60 msimu uliopita akiwa Laliga.
Zinadine alikuwa amchukue Kepa lakini Chelsea wangemuacha na Zidane angeendelea kuwa Madrid angemchukua maana alikuwa anampenda. Ni kwa sababu tu hakuruhusuiwa kusajili kipa katikati ya msimu
“Kepa is very talented,” Zidane said,
Kuna jamaa wa sportkeeda.com wamemuweka na. 10 bora duniani (Maoni ya Sept 2018)
Page 10 - Ranking the 10 best goalkeepers in the world
Najua kuna makipa kama mzee Bufon wa PSG na Navas wa Madrid nao angewaweka hapo
- David de Gea (Manchester United)
- Jan Oblak (Atletico Madrid)
- Marc-Andre ter Stegen (Barcelona)
- Thibaut Courtois (Real Madrid)
- Ederson (Manchester City)
- Alisson Becker (Liverpool)
- Samir Handanovic (Inter Milan)
- Manuel Neuer (Bayern Munich)
- Jordan Pickford (Everton)
- Kepa Arrizabalaga (Chelsea)
Kwa nini umeamua kuwa mwongoHaoana tazama aina za beki hivi kweli mfumo wa chelsea wa kupiga pas nying unaweza muona golkipa anafanya kaz na mfano wa wazi n barca kipa wao n mbovu ila ku5okana na mfumo anaonekana bora kepa ni bora sema tu ajapata mashambuliz makali maana beki zipo sawa
Sawa umesikika ila mwalimu wa spain kashaamuaKutoka Na Timu ya Taifa ya Spain ilivyo nawashauri tu Bora muombe Kepa asiwekwe Golkepa namba 1 ili aendelee kulinda heshima Yake nsimu huu.
Spain kwa sasa Hata waeke Kipa 2 De Gea na Kepa kwa wakati mmoja basi kufungwa goli 3 Ni kitu cha kawaida kutokea.
hahah poaKwa nini umeamua kuwa mwongo
Chelsea ni moja kati ya team zenye beki mbovu sana kinachotusaidia ni possession na passes tu
spain n mbovu mhhbSawa umesikika ila mwalimu wa spain kashaamua
Afanye haraka maana ban inatuhusu hiyo lazimaSarri to spend £200m on four players ahead FIFA ban on Chelsea
Chelsea boss, Maurizio Sarri, will spend more than £200 million in January window following the threat of a two-year transfer ban by FIFA.
The money will be spent on four players.
FIFA had last week recommended the Blues receive a four-window transfer ban following an investigation into them signing under-age foreign players.
The threat will push the Blues to work around the clock in January to bring in a number of targets before the ban hits.
Express Sports reports that Chelsea are ready to go head-to-head with both Manchester United and City to sign 27-year-old £50m-rated Brazilian wing-back Alex Sandro from Juventus.
Sarri is already on the verge of winning the £70m-race to land winger Christian Pulisic, 20, from Borussia Dortmund.
The Italian manager will also pay £50m for 24-year-old right-back, Elseid Hysaj.
The Blues are also looking to invoke a £40m buy-back clause in the deal that took central defender Nathan Ake to Bournemouth.
EPL: Sarri to spend £200m on four players ahead FIFA ban on Chelsea - Daily Post Nigeria
Kutoka Na Timu ya Taifa ya Spain ilivyo nawashauri tu Bora muombe Kepa asiwekwe Golkepa namba 1 ili aendelee kulinda heshima Yake nsimu huu.
Spain kwa sasa Hata waeke Kipa 2 De Gea na Kepa kwa wakati mmoja basi kufungwa goli 3 Ni kitu cha kawaida kutokea.